Asante1 Inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani,upeo duni na mpumbavu kupindukia. Unafikiri mtu kuwa rais ndo ana akili kuliko wooote au? Na je,kabla hajawa rais ulikuwa unamchukulia kama mpumbavu mwenzio au?Pumbavu mkubwa, rais unamlinganisha na wapuuzi kama Mbowe
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM hata kufikiri NECCCM hawawezi kughushi ni unyumbu kwani NECCCM siyo malaika haoEti NEC waghushi, wajumbe wa kamati kuu waarifiwe, waende Dodoma, wakubali kuapishwa kuwa wabunge!! Inaingia akilini kabisaaa! ????? Kweli nyumbu ni nyumbu tu!
Ya kitoto wakati mabeberu hawampi helaHhahaha we jamaa mnafurahisha kweli, Jpm hawezi kuhangaika na mambo ya kitoto hivyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hilo ndilo Jawabu lina subiria na watanzania wengi mnoCOVID 19 wameshapigwa chini,sasa wakaanzishe chama chao.
Wew kweli kichwa chako kina uwalakini, sasa hapo jiwe presha inampanda kwa lipi?Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.
Press itaanza saa tatu kamili usiku
Ndungai kuwanunua covid 19 ni utoto zaidi ya huo unaofikikiriaHhahaha we jamaa mnafurahisha kweli, Jpm hawezi kuhangaika na mambo ya kitoto hivyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Vipi mkuu,TBC Taifa pamoja na ITV hawatarusha live hadi tukaangalie kwenye TV mchwara ambazo hazina hata majina?Vyote bwashee!
Hakujifunza kwa yaliyompata SlaaMnyika yupo kwenye wakati mgumu kwa kujaribu kupingana na mwenye kigoda ambae ndio mwenye maamuzi ya mwisho ndan ya chama. Maamuzi yake yawe ya faida au hasara, hakuna anaeruhusiwa kumpinga wazi wazi wala mafichoni
Kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani ni utoto zaidi ya huo wakoHhahaha we jamaa mnafurahisha kweli, Jpm hawezi kuhangaika na mambo ya kitoto hivyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mabeberu waliacha kumpa hela tangu 2016. Kwni unafikiri kilichofanya ashindwe kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ni nini? Miaka 4 sasa mabeberu wanaahidi mchango kweye bajeti lakini hawaleti. Hivyo wanaoumia siku ya mwisho sio Magu.Ya kitoto wakati mabeberu hawampi hela
Aliniuzulu Dr Slaa itakuwa Mnyikanamuona Mnyika atakavyo jiuzulu...tusubiri tu
Wautangaze haraka mno kwani kila Mtanzania mwenye Akili timamu hataki kuwaona wakike 19 wanandungai wakiwa chadema tenaNdo uamuzi umefanyika
Una ushahidi huo?NEC taasisi nyeti imefikia hatua ya kugushi?Kwani shida nini,tuliaaambia hivo viti wawape polisi
TBC ndio wameingia bahari beach muda huu!Vipi mkuu,TBC Taifa pamoja na ITV hawatarusha live hadi tukaangalie kwenye TV mchwara ambazo hazina hata majina?
Slaa ni mwizi alinunuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba na CCM huko canada hana cha kuigwa na kazee fulani kapumbavu fulani hiviAliniuzulu Dr Slaa itakuwa Mnyika