Halafu unamkuta mbele ya hadhara akijisifia eti yupo kwa ajili ya wanyonge!! Msafara wake wenyewe tu ni kufuru tupu.RC,DED,DAS,RAS,RC,RPC,RAC,DAC etc piga mahesabu wote wana KILIMO KWANZA V8 kama Maputo bei zaidi ya 300m piga mahesabu Nchi nzima kuna ma RC ,RAS ,DC,DAS etc wangapi na wote wana hizo ndinga....
CCM ni ileileMi nadhani Kuna Mambo makubwa ambayo huyu DED aliyafanya,kwa kujitoa au hata kuhatarisha maisha yake,na huenda yalikuwa hayafahamika kwetu.kama alivyosema jpm asijisahau sikunyingine akarudia ujinga huu.
Halafu unamkuta mbele ya hadhara akijisifia eti yupo kwa ajili ya wanyonge!! Msafara wake wenyewe tu ni kufuru tupu.
Magufuli mzugaji tu. Hana nia halisi ya kumaliza ufisadi.Kama mada inavyojieleza...
Uzi umesemaje?Kuna uzi nimepandisha hapa jf,fuatilia ujue reason mkuu
Sio kwel kuna madas wanatembelea gar za kawaida tena za donors tu na wala sio V8RC,DED,DAS,RAS,RC,RPC,RAC,DAC etc piga mahesabu wote wana KILIMO KWANZA V8 kama Maputo bei zaidi ya 300m piga mahesabu Nchi nzima kuna ma RC ,RAS ,DC,DAS etc wangapi na wote wana hizo ndinga....
Wewe ni mnufaika wa mfumo huu.Hao DED, MD nk nk nk ni Watanzania wenzako kama wewe. Acha kulala ukiumia juu ya Cheo cha Mwenzako na kumwombea Njaa! Pambana Familia yako Watoto Wasome Kisawa sawa shule za Maaana.
Pambana uwe na Pesa Chaffu halafu utapata Connection then wanao ndio Watakuwa hao hao Wenye ma V8 VXR! Kulalalamika lalamika na kuombea wengine njaa ni ishara ya Umaskini na Uchawi Mkuu. Pambana mpaka kieleweke acha wivu!
Kwani hujui kuwa hao ndo waliosimamia wajumbe kushinda uchaguziKama mada inavyojieleza,
Tunaona suala la ununuzi wa magari ya Wakurugenzi kwa bei ya anasa limezimwa.Wazalendo tunajiuliza maswali mengi sana;huenda ni kweli kuwa mheshimiwa rais amewaogopa Wakurugenzi,au Jaffo,au PM
Sasa tunaomba tujue,kati ya hawa,ni nani uliyemuogopa?.
Tunaumia sana mali zetu zinapotumika vibaya,halafu mlinzi mkuu wa mali zetu anakaa kimya,na anasamehe bila sababu mmoja wa watuhumiwa (DED wa Kahama). Mheshimiwa, tuambie.
Unamwogopa yupi?
Weka linkKuna uzi nimepandisha hapa jf,fuatilia ujue reason mkuu
upo nimeuonaWeka link