mganji jr
Senior Member
- Sep 29, 2021
- 105
- 122
Ben ndo kichaka Cha kujifichia?Unanikumbusha ben saanane
Kwan wakati wa jk Daud mwangosi hakuwa binadamu? Acheni ujinga nyie vyeti feki,mafisadi na walamba asali.
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app