Hamna shukrani mlizoea maisha ya kubembelezwa kishogashoga hata hao marais wengine maneno yenu yalikuwa ni hayahaya hata mbowe ni magufuli ndito kamuweka ndani.

Wizara ngapi alizinyoosha kabla ya kuwa rais na mkamkubali kwa style hiyohiyo.

Kuishi na mtanzania ni bora ya kuishi na kobra ndani ni wanafiki sana hawavumiliki utafikiri jibu la utosini
Punguza povu,mfuate huko kuzimu sasa
 
Kiboko ya wapenda kubadilisha magoli. Kile kile wanacho kiomba leo ikikifsnya hawakitaki, hawajui wanataka nini .

Kumbe mwenye kuwajulia aksingia uwanjani, piga hao, chinja hao, hakuna kupewa chai wala juisi. Woote wakaufyata. Mbowe akawa wakubembeleza na kutia huruma. Afya ya akili ya wapinzani bado mpaka leo haija rudi sawa baada ya kipigo cha October, 2020.
Walimuogopa Magufuli kuliko njaa.

Ujanja usio na tija katika kuutendea haki msaada wa Wajerumani tumeona bidii, Hongera Mbowe kwa ku retire loan/ advance/grant/imprest/ polical money. . . The Friedrich-Ebert-Stiftung (FES)
Wache zikutoe kamasi, unashiba pekee yako.

Friedrich-Ebert-Stiftung
Tanzania Office

P.O.Box 4472
Mwai Kibaki Road, Plot 397
Dar es Salaam, Tanzaniau

+255 (0) 22 2668575
+255 (0) 22 2668669
info.tanzania(at)fes.de
 
Sijui umeandika nn hapa. Ukichaa huwa haupigi hodi
 
Yaani jina lako tu tayari ni chuki kwa Magufuli,huwezi Afrika kupata maendeleo bila style uongozi wa hayati Magufuli i.e. kagame

Ila kwa chuki ulizonazo ni radhi utapike hivyo
Kaleta maendeleo gani Sasa? Nchi imepoteza mvuto duniani, ndiyo maana mama anahaingaika kui-rebrand

Tulipewa takwimu za kupika na kuambiwa tuko uchumi wa kati kumbe nchi inazama kiuchumi. Ndiyo maana mama anahangaika na tozo. Huyu mbwiga angemaliza mitano inhiiiii......!!
 
Yaani jina lako tu tayari ni chuki kwa Magufuli,huwezi Afrika kupata maendeleo bila style uongozi wa hayati Magufuli i.e. kagame

Ila kwa chuki ulizonazo ni radhi utapike hivyo
Ni wapi nimeonyesha hio chuki unayoisema!?
Mbona una kiherehere!?
Huna ishu chawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom