Hahaha usalama upo lakini? Maana mtanange ulikua sio wa kitotoKidudu mtu hicho kiliingia ndo mana nkapotea

Karibu kilingeniHodiiii, wana midnight
Naaam, komredi usisahau kulifunga pia, maana yule last man standing siku izi anasinzia sana.
Asante mkuuKaribu kilingeni
Nimekuja nilienda kumroga Money penyWazee wamekasirika leo. Sio Mwifwa,Maserati,Inna,Demiss. Au baridi.
Haaah,huwa anasahau kufunga geti? Aiseee.Naaam, komredi usisahau kulifunga pia, maana yule last man standing siku izi anasinzia sana.
Hahaha siku hizi amekua first man sleeping.Haaah,huwa anasahau kufunga geti? Aiseee.
Karibu binti mahaba, leta mrejesho sasa umefanikiwa?Nimekuja nilienda kumroga Money peny
Wasubiri half time watakuja bibie, saa hii bado wako katikati ya mtanangeKwahiyo nachat peke yangu najibu peke yangu why
kwel. Ulijuaje eti kaka?una kadarubini nin mekuWasubiri half time watakuja bibie, saa hii bado wako katikati ya mtanange
Nawe pia, usindikizwe na malaika was MunguUsiku mwema popoz!!