mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
Taarifa hajitoshelez mkuu pia jukwaa la hoja mchanganyiko lingekuwa bora zaidTaarifa, kuna mgao unaendeleaje mji wa kahama. Naomba tuwasambazie mpaka wajue.
Taarifa hajitoshelez mkuu pia jukwaa la hoja mchanganyiko lingekuwa bora zaidTaarifa, kuna mgao unaendeleaje mji wa kahama. Naomba tuwasambazie mpaka wajue.
Hongera sana mkuu. Sio mbaya au umejisikia vibaya?Kwa mara ya kwanza nmelala guest peke yng
Polee mkuu jengo lote upo alone au mie cjaelewa chiefKwa mara ya kwanza nmelala guest peke yng
Tayar na ww umechangia kumbe na ww ni insane...NAPATA MASHAKA SANA NA AINA YA WATU WANAOCHACHANGIA UZI KAMA HUU..THIS IS INSANITY!!!!!

Mkuu mpotezee jamaaa anashida fuatilia nyuz zote he/she act like a child while ni empty minded oneTayar na ww umechangia kumbe na ww ni insane...![]()
![]()
Tayar na ww umechangia kumbe na ww ni insane...![]()
![]()
Nashukuru kuniita dogo mkuu ckuwahi tambua hilo since my childhood but honestly mipango ya namba zako kwangu mie its mere illution haina impact yoyote kwanguUnahitaji kuonewa huruma dogo..watu usiku huu wanazungumza mipango ya namba ww umekaa kama ka msukule kucomment kwenye uzi wa kindezi kama huu..rubbish
Mkuu sie wazma taarifa ni kwamba lindo lipo timamu chini ya kamandaJaman salama humu nawapa nimekuja kuwapa hi tu mkeshe salama!!!
Mpe hi huyo mrembi..!! Nawe pia nakuachia fungua za kilingeMkuu sie wazma taarifa ni kwamba lindo lipo timamu chini ya kamanda
Demiss
Ova

Niote leo ukilala. Sawa sawa?
Uandishi wako ni wa kitoto sana..BTW never use the Queens language again..you insult yourself!!Mkuu mpotezee jamaaa anashida fuatilia nyuz zote he/she act like a child while ni empty minded one