Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Niliwamissimo ndugu zanguInna mambo vipi.
Poa aisee..ndugu zako sijui wametekwa
Niliwamissimo ndugu zanguInna mambo vipi.
Poa aisee..ndugu zako sijui wametekwa
Kumbe ndo zenu eeeh! Msipokuwepo humu mnakuwa mnapeana jotoridi na my luv wenu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Aisee! sijui wapo wapi,au kibaridi labda
Inawezekana kabisa wanapeana joto
Atutake radhi kabla hatujamfungulia mashtaka [emoji35] [emoji35] [emoji35]Nyie nguchiro wa humu hamjalala tu?
Inna naona umeenda baharini na mshana sasa hivi.
Ole wenu mpite anga zangu nitawatungua kwa neno moja tu
Kina nani nguchiro??hujui huku kuna wakubwa zako au hzo mvi zinakudanganya
Na hili baridi mnapiga passport asubuhi Mnaenda kazin hata mafuta hampakiii muache hiyo tabiaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana mwanafunzi wangu, mimi nipo zangu faragha naongeza baridiDah! afadhali teacher umetokea,nilikuwa wasiwasi kwamba na wewe umeenda kutoa baridi.
Juzi na jana hukuonekana ulikuwa wapi kama sio huko mnakotolea baridi [emoji12] [emoji12] [emoji12]sio mimi teacher.
Pole aiseeUpweke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] best hivi hao wanaume walikukosea nini? Maana kila ukiamka unao!Wanaume mmelala hamjaoga mnanuka majasho Kama beberu Khaaa yani Leo jioni nimepishana na mwanaume nikasema mbuzi katokea wapi katikati ya mjiii
Na hili baridi mnapiga passport asubuhi Mnaenda kazin hata mafuta hampakiii muache hiyo tabiaaa
Halafu nimekumbuka,wanafunzi wa siku hizi mnatabia mbaya sana kwanini nilikuagiza mbegu ya mihogo ukapotea mazima hata darasani ukawa huji?hapana teacher,nilikuwa nafanya homework
Ngoja nisubirie hapa, labda Manga ML na yeye anaweza akaota kwa sauti nimsikie [emoji12] [emoji12] [emoji12]kuna popo wana tabia ya kuota ndoto kwa sauti,huu uzi una raha sana!
Alikuwa usingizini kaamka nalo hilo! tujumuike nae tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] best hivi hao wanaume walikukosea nini? Maana kila ukiamka unao!
Ila wanaume wa hapa wote wameoga na wamepaka mafuta. Labda wanaume wa jukwaa la siasa ndo wamelala bila kuoga wale [emoji12] [emoji12] [emoji12]