Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Ebu mwambie huenda wewe atakuelewaMkuu mbona hasira tena mzee haya bhana sie wapuuz lakin kwenye msafara wa kenge na mijusi wapo
Ebu mwambie huenda wewe atakuelewaMkuu mbona hasira tena mzee haya bhana sie wapuuz lakin kwenye msafara wa kenge na mijusi wapo
ExactlyHapa ni kijiwe cha soga mkuu story tu kwa wale tisio na usingiz karibu kanuni na mashart kuzingatiwa
Huyo sio yule aliyepigwa ban kwa id ya connor kaz yake ni kutukana tuu.heri ya mwkaKuna popo mkorofi sana! ameingia humu tumvumilie wapendwa hatuwezi kufanana wote,twende nae taratibu tuu huenda akarudi kundini...heri ya mwaka mpyaa popoooooZ..
MambooHuyo sio yule aliyepigwa ban kwa id ya connor kaz yake ni kutukana tuu.heri ya mwka
PoaaMamboo
Naona ushaamka tayari kwa kujenga taifaPoaa
Tayar..vp ushatoka mazoezNaona ushaamka tayari kwa kujenga taifa
Yap ila Leo mzunguko mmoja tu ,mvua imeingilia kati nimerudi ndaniTayar..vp ushatoka mazoez
We umetegaTayar..vp ushatoka mazoez
Ohoo lipiza jioniYap ila Leo mzunguko mmoja tu ,mvua imeingilia kati nimerudi ndani
Yeah jioni Mara tatu ya asubuhi,vipi ushaenda jobOhoo lipiza jioni
Kaz zangu ni za hapa hapa nyumban nmeshaanza toka sa 12Yeah jioni Mara tatu ya asubuhi,vipi ushaenda job
Safi sana ,mie mstaafu piaKaz zangu ni za hapa hapa nyumban nmeshaanza toka sa 12
Ngoja nije kusaidiaKaz zangu ni za hapa hapa nyumban nmeshaanza toka sa 12
KaribuNgoja nije kusaidia
Na karibia sasa hv ,wastaafu tuyajengeKaribu
Naona leo wako likizoMpooo wananzengo