ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,989
Usingizi mzitoHamjambo humu
Usingizi mzitoHamjambo humu
Tafadhali tunaomba bei ya hao shepherdUsingizi mzito
Ngoja watimize siku 60.Tafadhali tunaomba bei ya hao shepherd
Sawa kiongozi, ila ni vyema ungetupa bei mapema ili tujipange kabisaNgoja watimize siku 60.
Range 150,000- 180,000/Sawa kiongozi, ila ni vyema ungetupa bei mapema ili tujipange kabisa
Sawa. Ni wenyewe og au wamechanganywa?Range 150,000- 180,000/
Wamepandana mbwa Wawili Shephards. Wakapeana mimba. Watoto wakazaliwa.Sawa. Ni wenyewe og au wamechanganywa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha eti wamepandana wakapeana mimba! Poa kiongozi. Nitachukua jike na dumeWamepandana mbwa Wawili Shephards. Wakapeana mimba. Watoto wakazaliwa.
Haitatoka breed nzur kwako baadae ni bora ukachanganya familia[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha eti wamepandana wakapeana mimba! Poa kiongozi. Nitachukua jike na dume
Oooh kumbe! Basi nitachukua mmojaHaitatoka breed nzur kwako baadae ni bora ukachanganya familia
Poa aisee..ndugu zako sijui wametekwaInna mambo vipi.
Inawezekana kabisa wanapeana jotoAisee! sijui wapo wapi,au kibaridi labda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaa! kumbe ndivyo walivyo,hivi hata yule teacher wetu huwa anafanya mambo haya!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Alaa kumbe!Inawezekana kabisa wanapeana joto