JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Anaweza kujikuta kajisajili hapa bila kupenda [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kweli stress nouma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna uzi nilianzisha akaunasa mapema bado mbichi kamwaga povuu, mimi sikumjibu nikampa like tu.

Watu wakaja kumjibu povu lake, baadae aliporudi kanipa like na mimi kwenye huo uzi aliouponda
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka basi.... Maskini sijui ana tatizo gani, maana sasa hivi tu kuna uzi namuona anatokwa na mapovu mpaka huruma!

Hizo stress kama sio za VYUMA basi ni MAPENZI
 
NIMAJARIBU KUKUSAIDIA KUWAONYESHA NJIA ILIYOSAHIHI..HUU NI UTOTO NA UPIMBI WA HALI YA JUU..HIKI NI KIJIWE CHA KUSUKANA NYWELE..HAMTOTOBOA
Wewe umesukwa style ngapi hadi sasa hivi?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka basi.... Maskini sijui ana tatizo gani, maana sasa hivi tu kuna uzi namuona anatokwa na mapovu mpaka huruma!

Hizo stress kama sio za VYUMA basi ni MAPENZI
Hahahahahahaaaaaa

Dunia kuna watu na viatu......
 
Back
Top Bottom