Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Mimi nabana kwa kibanio wala sio kwa vyuma![]()
![]()
msitubanie vyuma vyetu kwa visingizio vya kubana matumizi hapa!
Mimi nabana kwa kibanio wala sio kwa vyuma![]()
![]()
msitubanie vyuma vyetu kwa visingizio vya kubana matumizi hapa!
Ila tuwe serious katika hili.....kumbe sisi ni bunge, hivyo basi tufanye uchaguzi wa spika, naibu spika na kamati mbalimbaliNaunga hoja miguu![]()
![]()
![]()
Haya waite bundi wote tuje tufanye mitini ya zaruraIla tuwe serious katika hili.....kumbe sisi ni bunge, hivyo basi tufanye uchaguzi wa spika, naibu spika na kamati mbalimbali
Mwitee kwa sauti ya juu na herufi kubwaaaaa![]()
![]()
Nleterewa Nganengo njoo ujione huku bungeni
Sauti imenikauka, nisaidie kuwaita wewe[j]Haya waite bundi wote tuje tufanye mitini ha zarura
Mwitee kwa sauti ya juu na herufi kubwaaaaa
Bila shaka na wewe ni mpuuzi kuchangia kwenye uzi wa kipuuziNYUZI KAMA HIZI NI ZA KIPUUZI SANA..RUBBISH
Upuuzi ni ww msukule kukesha unaandika upuuzi kwny upuuzi ..idiotBila shaka na wewe ni mpuuzi kuchangia kwenye uzi wa kipuuzi
Ita tena watakusikiaNYUZI KAMA HIZI NI ZA KIPUUZI SANA..RUBBISH
Mpuuzi ni anayefuatilia mambo ya kipuuziUpuuzi ni ww msukule kukesha unaandika upuuzi kwny upuuzi ..idiot
Usishangae shangae njoo tupige stori mbili tatu, utapata tena usingiziNa mie usingizi kwishney, nipo nashangaa shangaa tu.
Huyo kavurugwa na vyuma tuachane naye tu!Mpuuzi ni anayefuatilia mambo ya kipuuzi
Upuuzi ni mpuuzi kumtetea mpuuzi mwenzake kufanya upuuzi..two idiots!Mpuuzi ni anayefuatilia mambo ya kipuuzi
Poleni sana wafiwaKaribuni tupo kwenye msiba hapa, kama kwaya..
Usingizi mwema!!!Upuuzi ni mpuuzi kumtetea mpuuzi mwenzake kufanya upuuzi..two idiots!
Mbona mapuvu mengi hivyo? Pambana na hali yako ndugu stress zako usituletee hapaUpuuzi ni mpuuzi kumtetea mpuuzi mwenzake kufanya upuuzi..two idiots!
Unamuambia nan sasa..ka msukule wwUsingizi mwema!!!