JamiiForums Usiku wa manane
Kumbe hilo jina lake maana yake ni chepe eeeh? Bora nimelijua maana hilo la kiinglish linanipaga shida sana kulitamka
Haaaaaa! tHAd bhana! Yule mjomba alikuwa anajifanya anajua kutafasiri kutoka jina halisi kwenda kiswanglish cha kwake sasa amekosea maana kaishia njiani.
 
Kweli mwaka mpya mambo mapya.
Mwaka huu nahama shule, walimu wangu watakuwa Kichwa Kichafu na HB wa kigogo.

Wewe na Nganengo sio walimu wangu tena. Kwanza mmenifelisha sana mwaka jana...
Hahahahaaaa

Nitaona jinsi utakavyoondoka, lazima pachimbike hapo
 
Back
Top Bottom