Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Sawa kiongozi ngoja niwahi kuweka oda mapema.Amezaa vitoto 4. Jana. Tuwasiliane tu Pm.
Sawa kiongozi ngoja niwahi kuweka oda mapema.Amezaa vitoto 4. Jana. Tuwasiliane tu Pm.
Sawa kiongozi ngoja niwahi kuweka oda mapema.Amezaa vitoto 4. Jana. Tuwasiliane tu Pm.
Sawa kiongozi, ngoja niwahi kuweka oda mapemaAmezaa vitoto 4. Jana. Tuwasiliane tu Pm.
Hivi sasa ni 00:01 usiku naperuzi JF[emoji41]Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Ngoja kwanza mwaka usogee sogee angalau mpaka Septemba, sasa hivi ni mapema mno.....nisije nikakuwish ukachukua na baraka zangu bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]Halafu hujaniwish kabisa sijui hunitakii mema mwaka huu[emoji4] [emoji4]
Kweli mwaka mpya mambo mapya.Zawadi ilikuwa mwaka jana sasa hamna zawadi mwaka huu
Asante kiongozi!Duuh pole
Nime kumicAsante kiongozi!
Mzima wewe lakiniAsante kiongozi!
Ongeza sauti mkuu, Inna yuko viwanja saa hii anafurahia wikend, hawezi kukusikia kirahisi namna hii [emoji12] [emoji12] [emoji12]Inna!
Mkuu hao pupy ni breed gani chiefSawa kiongozi ngoja niwahi kuweka oda mapema.
Ongeza sauti mkuu, Inna yuko viwanja saa hii anafurahia wikend, hawezi kukusikia kirahisi namna hii [emoji12] [emoji12] [emoji12]Inna!
Yupo na dingi au mwifwaOngeza sauti mkuu, Inna yuko viwanja saa hii anafurahia wikend, hawezi kukusikia kirahisi namna hii [emoji12] [emoji12] [emoji12]
WeeeeOngeza sauti mkuu, Inna yuko viwanja saa hii anafurahia wikend, hawezi kukusikia kirahisi namna hii [emoji12] [emoji12] [emoji12]