JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Afadhali umevuka salama, kwa jinsi nilivyokuacha mwaka jana sikutegemea aisee.... Ila mkakati wetu ule tuliopanga kwa 2018 wa kuacha mvinyo naomba tuutimize. Binafsi zile balimi 50 zilikuwa za kuaagia mwaka na kuaga ulevi kabisa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Tatizo lako huwezi kutofautisha mambo ya bayana na sirini[emoji6]
Hivi umesahau wazee tumeambiwa tutumie "mvinyo" kidogo kwa ajili ya tumbo? Hebu kamsome vizuri Timotheo[emoji39]
 
Back
Top Bottom