BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,366
Mida ya kuhema kizungu hii
Kampan ya mwanafunzi wako mchochoze muite mpeane kampan...dingimtoto apumzike leo jamnHahaha, huwa nina matatizo ya kusahau sahau, labda unipe kampan ya kunishikia funguo![]()
![]()
Kwann unachat Usku Nambie mpaka saiv hujalala Wewe mlinziHakuna kulala
Hebu hemaa kidogo nioneMida ya kuhema kizungu hii
HeheheeWakiume itapendeza zaidi![]()
![]()
![]()
Mimi nakuja na ungo wangu moja kwa moja, hiyo hela ya uber uniwekee ntanunulia magimbi asubuhi.Nimechoka kulala peke yangu jaman kama kuna popo aje hapa tupeane kampany ya story mbili tatu nimtumie uber
Nimemaliza maombi naona usingizi hakunaKwann unachat Usku Nambie mpaka saiv hujalala Wewe mlinzi
Njoo tukeshe tu hakuna namnaNimemaliza maombi naona usingizi hakuna
Umeonaa eeWakike watatufikiria vibaya![]()
Hebu nambie uliyaona wapi kwanza,.
Kabisa komredi, kwa safu ya ulinzi iliyopo sasa hata nikilala sina mashaka kabisaIli aweze kukesha vema cunajua gahawa hukata usingiz
Wanaume badala ya kufikiria Kenya wanaenda mpaka Korea kusin kwenye nyukliaUmeonaa ee
Aisee ni kusikiliza sauti za bundi tu, kwa nini hulali mpaka sasa?Njoo tukeshe tu hakuna namna
Hahaha siku izi naona kanitosa, kasema amepata Mwl hensamu na kijana, wazee tupumzikeKampan ya mwanafunzi wako mchochoze muite mpeane kampan...dingimtoto apumzike leo jamn

Ukiona hivyo sna kumbatio La pemben LA kunibembeleza nilaleAisee ni kusikiliza sauti za bundi tu, kwa nini hulali mpaka sasa?