JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Unajua nini, mimi ni mgogo sasa kuna zilipendwa wangu alikua anapenda sana kuniita hivyo. kwa hiyo nimeona nimuenzi kwa namna hii.
Asante kwa kunienzi zilipendwa wangu! [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mithali 20: 1 "Mvinyo hudhihaki, Kileo (balimi) huleta ugomvi na akosae kwa vitu hivyo hana hekima".
HAPPY NEW YEAR (kuna mahali nimeigilizia)
Afadhali umevuka salama, kwa jinsi nilivyokuacha mwaka jana sikutegemea aisee.... Ila mkakati wetu ule tuliopanga kwa 2018 wa kuacha mvinyo naomba tuutimize. Binafsi zile balimi 50 zilikuwa za kuaagia mwaka na kuaga ulevi kabisa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom