Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Yapi hayo?Kumbe haya mambo daaaah kweli aisee yanatokea
Yapi hayo?Kumbe haya mambo daaaah kweli aisee yanatokea
Wakongwe wa nini mkuu? Kauli tata hiiWakongwe wamelala.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani huyo anapewa maagizo kwenye ndoto?Ukirudi ulale
Njoo tukeshenimekoswa usingiz naombeni dawa ya usingizi
siwezi kukeshaNjoo tukeshe
Hakikisha unaochosha mwili wako mchanasiwezi kukesha
nifanye nn? sioni kazi nzito nzitoHakikisha unaochosha mwili wako mchana
Ulikuwa unacheza nginde au .......??Wadau za mwaka mpya ndio natoka hapa kisuma bar chicha
Abee! Uko poa last man stand alone wa mwaka jana?
Uninyofoe kitamu changuNikimaliza likizo kama nafasi bado ipo itabidi nijitose kwenye kinyang'anyiro