Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Ukishikwa shikamana bibieStakiii umensusa
Ukishikwa shikamana bibieStakiii umensusa
Yaani Mwanafunzi jinsi ulivyonisusa, tangu uingie hapa hujanisalimia kabisa[emoji15] [emoji15] [emoji15]Naomba baadae nije kula kwako hayo matunda [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mwl.una vidole vizuri [emoji39] [emoji85]
Alafu ww kwann unapenda kudandia zawad zangu[emoji2]Akikupa uniite nije kuitathmini [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] thad huyajui mazambarau? Msimu wake watoto wanavunjikaga sana maana matawi yake ni rahisi sana kuvunjika na huwa yanatelezaMatunda gani haya? [emoji39] [emoji39]
Shiiiiiiiii[emoji87] [emoji87] [emoji87]Mwl.una vidole vizuri [emoji39] [emoji85]
Mwambie atubuAisee namuona rais was dar hapa itv anashushiwa upako kuna mtu anachek tv
Nitakwambia kule si hapa aiseeWap huko
Kama mzee wake asikii yeye je si ndo balaaMwambie atubu
Lock up tuu inamfaaYaani Mwanafunzi jinsi ulivyonisusa, tangu uingie hapa hujanisalimia kabisa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mwaka mpya na Adhabu mpya, jiandae[emoji47] [emoji47]
Aisee nmeshindwa kulala huo mzigo haufiki?Shiiiiiiiii[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ongea taratibu
Mwambie atubu
Tusiharibiane mudi mazee hayo mambo yana jukwaa lakeKama mzee wake asikii yeye je si ndo balaa
Ata kwa bakora mkuuKama mzee wake asikii yeye je si ndo balaa
Hehehehe tulia bwana mdogo, mwaka ndio kwanza unaanza stay coolTusiharibiane mudi mazee hayo mambo yana jukwaa lake
GoodTusiharibiane mudi mazee hayo mambo yana jukwaa lake
Nimeshusha mizigo ya kufa mtu hapa, ebu fuatilia huko nyuma.Aisee nmeshindwa kulala huo mzigo haufiki?
Ata kwa mabomu ya machozAta kwa bakora mkuu
Fuatipia - FuatiliaNimeshusha mizigo ya kufa mtu hapa, ebu fuatipia huko nyuma.
Kama vipi poza na huu hapa
View attachment 665250
Kifimbo cheza leo kacheza naye[emoji14]Fuatipia - Fuatilia
Oooh kumbe! Nilikuwa sijui[emoji15] [emoji15] [emoji15] thad huyajui mazambarau? Msimu wake watoto wanavunjikaga sana maana matawi yake ni rahisi sana kuvunjika na huwa yanateleza