JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haya njoo uchukue zawadi yako.

Ulikuwa top 50 mwaka uliopita Mwanafunzi wangu mtiifu
Unamaanisha mimi nilikuwa wa ngapi? Maana nakumbuka darasani tuko 50,hivyo ni lazima kila mwanafunzi awe top 50
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukija kunisalimia ndio utavigusa
Basi nielekeze kwako nije kukusalimia sasa hivi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Huyo mwalimu wako yuko wap aisee naona mbege na balimi hazijawaacha salama
Yaani zimetuchanganya kiasi kwamba hata huo mwaka mpya haujatufikia huku tulipo. Tunashangaa tu wanzetu wanashangilia sijui wanaangalia mpira [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Masuala ya kunyang'anya Mwl wako taulo uache mara moja[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom