Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Stakiii umensusaHeri ya mwaka mpya kipenz![]()
Stakiii umensusaHeri ya mwaka mpya kipenz![]()
AiseeHeri ya mwaka mpya kipenz![]()
Makusudi sasa
Naifungua keshoInamaana pm yako huoni kuna kitu huko
Jaman!! Mwaka mpya huu mamy yaliyopita si ndwele, nisameheStakiii umensusa
I thought umesahauUsiwaze zawadi yako ipo
Kamanda mbona wastukaAisee
Hii inanikumbusha shule ya msingi aisee. Yakinata kwenye nguo hayatoki hayo
Safiii mkuu wajibu lazma itimizweNilikua Kutimiza wajibu wa kuletwa duniani na Mungu..
Teh teh teh tehHii inanikumbusha shule ya msingi aisee. Yakinata kwenye nguo hayatoki hayo
Kaiyacha 2017 cjui utaenda chukua hukoNipo hongera pia mpendwaa...zawad yangu nakukumbusha tu
Siwezi kusahau. Maana ahadi ni deniI thought umesahau
Hii inanikumbusha shule ya msingi aisee. Yakinata kwenye nguo hayatoki hayo
Jaman!! Mwaka mpya huu mamy yaliyopita si ndwele, nisamehe
ok umesamehewaaHahahahaaaaNaifungua kesho
Uuh!! Asante kwel Mungu mwema![]()
![]()
ok umesamehewaa
Hahaaa haya yamenkumbusha mbali yaitwaje vilee alafu ni ya porin
Haiwezekan ntairudiaKaiyacha 2017 cjui utaenda chukua huko
Maji yake mkuuTeh teh teh teh
Hayanati hayo kwenye nguo
Kabisa aisee ahad ni denSiwezi kusahau. Maana ahadi ni deni