JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Basi ngoja niongee kwa kunong'ona....huo ni mkono wako wa kushoto au wa kulia? [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Najua kipindi cha Photograph interpretation hukuhudhuria.

Utajiju mwenyewe na utoro wako[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] na ufeli jaribio sasa.
 
Najua kipindi cha Photograph interpretation hukuhudhuria.

Utajiju mwenyewe na utoro wako[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] na ufeli jaribio sasa.
Mwl.hunitakii mema,kila nalokuuliza hunijibu basi nakuhama. Ngoja nitafute mwl.mwingine.
Kwanza mwaka mpya,walimu wapya,masomo mapya [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mwl.hunitakii mema,kila nalokuuliza hunijibu basi nakuhama. Ngoja nitafute mwl.mwingine.
Kwanza mwaka mpya,walimu wapya,masomo mapya [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Haya njoo uchukue zawadi yako.

Ulikuwa top 50 mwaka uliopita Mwanafunzi wangu mtiifu
 
Teh teh teh teh teheee

Ilipo keyboard P ipo mstari wa juu na L ipo mstari wa chini, sasa kitonga kikainasa P haraka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mwl.na wewe unakosea eeeh?
 
Back
Top Bottom