Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Nilikuwa namalizia balimi yangu ya 37, Nleterewa Nganengo anawasalimia...balimi zimemzimisha huku [emoji12] [emoji12] [emoji12]Leo umechelewa, ulikuwa wapi etiii?
Nilikuwa namalizia balimi yangu ya 37, Nleterewa Nganengo anawasalimia...balimi zimemzimisha huku [emoji12] [emoji12] [emoji12]Leo umechelewa, ulikuwa wapi etiii?
Ndio, ni ya porini ata mm nimesahau jina lakeHahaaa haya yamenkumbusha mbali yaitwaje vilee alafu ni ya porin
Yapo pia kwenye makazi ya watuHahaaa haya yamenkumbusha mbali yaitwaje vilee alafu ni ya porin
Safiii mkuu wajibu lazma itimizwe
Huku bado sijauona huo mwaka mpya naona kila kitu kiko vile vile tu[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nimevuka ndugu asante. haujavuka mwaka sijakusoma
Huyo mwalimu wako yuko wap aisee naona mbege na balimi hazijawaacha salamaNilikuwa namalizia balimi yangu ya 37, Nleterewa Nganengo anawasalimia...balimi zimemzimisha huku [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Na ww unatumia madude hayo?Nilikuwa namalizia balimi yangu ya 37, Nleterewa Nganengo anawasalimia...balimi zimemzimisha huku [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Matunda gani haya? [emoji39] [emoji39]View attachment 665230
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Sawa mkuuUtakuwa umekosea.
Hilo tunda halina hizo sifa
Kilichobadilika ni kalenda tuHuku bado sijauona huo mwaka mpya naona kila kitu kiko vile vile tu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nilikuta watoto wanayala aisee na mm nkaanza kuyaonja taratibu...ila watoto wanayapenda zaidiNdio, ni ya porini ata mm nimesahau jina lake
ZambarauMatunda gani haya? [emoji39] [emoji39]
Yako kule kwetu mengi sana aiseeNilikuta watoto wanayala aisee na mm nkaanza kuyaonja taratibu...ila watoto wanayapenda zaidi
HayaSawa mkuu
Hatimae shemeji yangu warudi kilingeni...kweli mwaka mpya na mambo mapya. Msalimie huyo anayekulaza mapema siku hizi [emoji85] [emoji85] [emoji85]Good good ubarikiwe mkuu
Wap hukoYako kule kwetu mengi sana aisee
Naomba baadae nije kula kwako hayo matunda [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Akikupa uniite nije kuitathmini [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nipo hongera pia mpendwaa...zawad yangu nakukumbusha tu