Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Ni vyema na haki kuboresha afya maana mchaka mchaka ndio umeanzaNaam!! Me naanza mwaView attachment 665208ka hiv comrade
Na kwapo pia chalii ya ar.chgaHERI YA MWAKA MPYA WOTEEEE
Naam!! Mwili aujengwi na tofali kamandaNi vyema na haki kuboresha afya maana mchaka mchaka ndio umeanza
Kumbe na wewe umevuka? Hongera sana. Mimi bado sijauona mwaka mpyaHeri ya mwaka mpya ndugu zangu popo bila kuwasaha bundi.

Mkuu hii kitu naichukia mpaka kesho siipendi ata kuiona ni kosa kwanguNjooni pande hizi tufurahie
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nasepa nitarudi baadaeAhah usimshtue huyo bana
Nambie cha Arusha tunakipata au leo umebadili mwelekeo?
Shukran kiongozi. Nikutakie mwaka wenye baraka teleHERI YA MWAKA MPYA WOTEEEE
Umeokoka rafki anguNasepa nitarudi baadae![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Good good ubarikiwe mkuuShukran kiongozi. Nikutakie mwaka wenye baraka tele
Nimevuka ndugu asante. haujavuka mwaka sijakusomaKumbe na wewe umevuka? Hongera sana. Mimi bado sijauona mwaka mpya![]()
![]()
![]()
Leo umechelewa, ulikuwa wapi etiii?Kumbe na wewe umevuka? Hongera sana. Mimi bado sijauona mwaka mpya![]()
![]()
![]()
Ha ha haaa