JamiiForums Usiku wa manane
Miaka 10 kwenye Usiku wa manane 😅😅😅🙌🙌🙌🙌
Huu utakuwa wa 11.
Kuna miaka ya kati, kina Toyeye walikuwa wananishangaa kila ikifika saa 6, naupandisha huu uzi. Naulizwa hulali? 😂😂😂

Nina historia nao huu uzi, kipindi kila mtu kaususa nilikuwa hapa. Nashukuru wengine mmebeba jukumu hili. Leo nina furaha zangu miye 🥰🥰🥰 hata usingizi unagoma.
Hongera sana tajir Bantu Lady nakuahidi juhudi zako nitazienzi,hazitapotea bure

Nimeshika hii bendera ya kuupeperusha huu uzi wenye historia kubwa kwako binafsi na wadau wengine pia akiwemo raisi wa majobless Intelligent businessman

Tupo pamoja sana
 
Back
Top Bottom