Hivyo vijiwe vya town sio vya kukaa wamejaa mashushu wa nchi hiiMastory ya Bey
Leo bwana nikiwa town nikajikuta huyu hapa kwa fundi viatu,four angle yangu ilihitaji kuzungushiwa uzi maana sori kama ilianza kubanduka hivi
Kama unavyojua wabongo hatuna baya linapokuja swala la kupiga mastory,tukaongelea mada mbali mbali,mwisho wa siku tukaangukia kwenye No reforms No election
Kikubwa ambacho wadau kwa kauli moja,wamepinga sana majirani zetu wa Kenya kutaka kuingilia maswala yetu ya ndani
Wadau walihoji ya kwao yana washinda iweje waje kwetu kutaka kutuchafulia amani ya nchi yetu
Wao hawapati haki yao yoyote kwanza lazima wamwage damu,je hiyo ndio siasa? Alihoji mwamba mmoja
Mwamba mwingine akasema unajua wakenya wengi wamesoma lakini hawana kazi,ndio maana wanastress sana,hivyo hawana raha na nchi yao na wako wako confused,so wanaona tuko hapi pamoja na kula ugali na tembele lkn mwisho wa siku tunaishi kwa amani bila machafuko
Akaendelea kusema kama kuna watu wana msoto wa maisha basi ni Wakenya,wengi wao wanaishi kwenye mabanda ya bati,nadhani machakosi ni mfano mmoja wapo
Wadau wakaendelea kusema si unaona wenzetu Wakongo,kutwa kuchwa wanatembea na magodoro,hiyo yote ni kutokana na machafuko nchini mwao,kwahiyo tujifunze kutoka kwa wenzetu
Wadau wakaendelea kusema ifike kipindi Viongozi wa dini waache kuzungumzia mambo ya siasa,kwasababu wataanza kutugawa kutokana na dini zetu,na kila familia ya Watanzania tumechanganya,je si tutaanza kubaguana ndugu kwa ndugu kwasababu kuna waislamu na wakristo
Vile vile wakasema wenzetu wanabaguana kwa makabila huko kwao Kenya,ndio maana fujo na kumwaga damu ni sehemu ya maisha yao
Hivyo Watanzania tusiingie kwenye mtego wao,wapambane na shida zao watuache na maisha yetu
Wadau wakasema Watanzania tuache kabisa kushabikia hao Wakenya na kuwaona ni mashujaa,hao wako na shida mingi sana
Ni bora tuonekane ni waoga lakini mwisho wa siku watoto wetu na familia zetu waendelee kuishi kwa amani
babe huna usingizi leo nimepita pita nikaona uzi upo trend alafu nikakukuta wewe mrembo😊Mrembo wangu, za miaka Dahan Nimefurahi sana, unajificha sana mdogo wangu 🥰🥰🥰
Leo weekend, ndiyo kwanza kumekucha. Na huu ndiyo uzi wa nyumbani. Mzima lakini, sijui babe wangu Kiki umemfukuzia wapi.babe huna usingizi leo nimepita pita nikaona uzi upo trend alafu nikakukuta wewe mrembo😊
Tumejaa tupooooooMapoooooo mpooooooo
Nitumie meseji bobo basi nikuambie kituLeo weekend, ndiyo kwanza kumekucha. Na huu ndiyo uzi wa nyumbani. Mzima lakini, sijui babe wangu Kiki umemfukuzia wapi.
Dkt alinipigia simu nije kumalizia dozi, nmefika nashangaa wamenidaka wamenifunga kamba 😭Shemeji, ulikuwa umepona kabisa. Mbona tena umerudi mirembe 😂😂😂😂😂
Wana minyororo... 😂😂😂 Maana ukisema cheni itaonekana ni fupi😂😂secretarybird unacheka nini? Muome 😅😅😅😅
Halafu kabla ya ID hii ulikuwa unatumia ipi? Maana kuna ID kama 5 nilijua zote za mtu mmoja, maana sizielewi ikiwemo hii yako.
Wanaume mnabadili ID kwasababu gani? Au mmeunganisha mabehewa humu? 😁😁😁😁😁
ID yangu ya zamani sitaitaja maana imefanya mambo makubwa na ya ajabu ajabu😀secretarybird unacheka nini? Muome 😅😅😅😅
Halafu kabla ya ID hii ulikuwa unatumia ipi? Maana kuna ID kama 5 nilijua zote za mtu mmoja, maana sizielewi ikiwemo hii yako.
Wanaume mnabadili ID kwasababu gani? Au mmeunganisha mabehewa humu? 😁😁😁😁😁
Kumbe unajua hilo mdogo wangu 😅😅😅😅 hawa vijana ni hatari sana. Mbaya wanabadili ID, wanarudi kwenye usajili upya kabisa aah dah 🤣🤣🤣🤣🤣Wana minyororo... 😂😂😂 Maana ukisema cheni itaonekana ni fupi😂😂
Tatizo kubadili mwandiko wanasahau😂😂😂😂Kumbe unajua hilo mdogo wangu 😅😅😅😅 hawa vijana ni hatari sana. Mbaya wanabadili ID, wanarudi kwenye usajili upya kabisa aah dah 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe kama siyo N mmmh!!!ID yangu ya zamani sitaitaja maana imefanya mambo makubwa na ya ajabu ajabu😀
Inaanza na P, nilikuwa mtu wa mungu sana enzi zile.Wewe kama siyo N mmmh!!!
Niambie tu kwa herufi ya kwanza na ya mwisho.
Hii JF/JA ni msitu wa Amazon haki 😜
Monetary doctor bibie Bantu Lady anskupa tuhuma😎Kuna ID zinatagiana kuna kitu tu, niko karibu nazifatilia. Siku kuna kitu kitalipuka tena. Ikiwemo hii ya secretarybird na sijui doctor wa nini, kuna sijui banini heee nyie vijana nyie nyie mmmh!!!
Nyoo sasa ikawaje ubadili? Mmh!!! P??? Na herufi ya mwisho?Inaanza na P, nilikuwa mtu wa mungu sana enzi zile.