Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Usiseme kwa sauti🤣🤣🤣🤣🤣Hey my former boss, zime fika chupa ngapi? 😁😂
Usiseme kwa sauti🤣🤣🤣🤣🤣Hey my former boss, zime fika chupa ngapi? 😁😂
Ndo zilikua chocho zako sio? 🤗Jamani kuna mtu aliwahi kuifahamu tabora guest house iliyokuwa mpanda ya mzee mbogo,miaka 30 iliyopita?
ume bakiza kusema knock it out 😂😁Kesho yetu usiifananishe na jana...
Reli na lami hazitoshani upana...
Takuita wangu, kabla uitwe na Maulana...
Nitakupenda saa hii ni sasa hivi 🎵🎵🎵
04:06
Aisee nilimchukua mtoto wa mwenye gesti na nikawekewa ambush moja kali sana,na willy kaka wa my bby lakini jinsi nilivyoikwepa hiyo chini ya mhudumu mmoja wa hapo gesti,it was fantasticNdo zilikua chocho zako sio? 🤗
Ndiko walipompea ngwengwe huko... 🤣🤣🤣🤣🤣Ndo zilikua chocho zako sio? 🤗
Kumbe ukiritimba ulianza kitambo we mzee😂😂😂Aisee nilimchukua mtoto wa mwenye gesti na nikawekewa ambush moja kali sana,na willy kaka wa my bby lakini jinsi nilivyoikwepa hiyo chini ya mhudumu mmoja wa hapo gesti,it was fantastic
Sana,kwani nyuzi zangu huwa huzisomi?Kumbe ukiritimba ulianza kitambo we mzee😂😂😂
Which door now? 🤔Someone just texted me on WhatsApp, Eti mbona hulali.
Nime muuliza wataka kuja tulinde wote, ana sema it's not funny kumtania na najua I can't open the door for her. ghai people 😁😂😁
Kwani nalala kwa msitui😁😂Which door now? 🤔
Najua ila ndo ugwiji wako uo😂😂 😂😂Sana,kwani nyuzi zangu huwa huzisomi?
Ukute yuakupanga aone reaction yako tu😂 saahiiiKwani nalala kwa maiti😁😂
She knows me well, naweza Zima simu nika concentrate kuangalia movie😂😂Ukute yuakupanga aone reaction yako tu😂 saahiii
Apa nilipo ni mwendo wa... skiaaa skiaaaa.... 😂😂😂Fungua tbctaifa,mbazigwa anapiga wimbo wa nzaya,NDUKIDI