JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Miaka 10 kwenye Usiku wa manane 😅😅😅🙌🙌🙌🙌
Huu utakuwa wa 11.
Kuna miaka ya kati, kina Toyeye walikuwa wananishangaa kila ikifika saa 6, naupandisha huu uzi. Naulizwa hulali? 😂😂😂

Nina historia nao huu uzi, kipindi kila mtu kaususa nilikuwa hapa. Nashukuru wengine mmebeba jukumu hili. Leo nina furaha zangu miye 🥰🥰🥰 hata usingizi unagoma.
 
Tushirikisje hiyo furaha. Maana umeanza na maandiki ya kumsifu alie juu bila shaka neema imekushukia
 
Miaka 10 kwenye Usiku wa manane 😅😅😅🙌🙌🙌🙌
Huu utakuwa wa 11.
Kuna miaka ya kati, kina Toyeye walikuwa wananishangaa kila ikifika saa 6, naupandisha huu uzi. Naulizwa hulali? 😂😂😂

Nina historia nao huu uzi, kipindi kila mtu kaususa nilikuwa hapa. Nashukuru wengine mmebeba jukumu hili. Leo nina furaha zangu miye 🥰🥰🥰 hata usingizi unagoma.
Tupo nyuma yako dada🤗
 
Hii ndo ipo😂😂😂 sikuhizi tuna mastory ya bey na nukuu kadhaa za kujifunza, na wengine wengine pia.. Ila Intelligent businessman kazi ulimpa anajitahidi kuifanya😂😂😂
Nimeona tajiri yetu Bey anatuwekea mastory na mafunzo. Abarikiwe sana. Intell anaendeleza gurudumu kwa uaminifu sana. Nasi tumuunge mkono, japo siku moja moja hata kama hivi weekend.
 
Back
Top Bottom