Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,079
- 1,567
Kitu ambacho nimeuza ni duka langu alafu Mimi nikawa dalali mwenyeweVingine umeuza au😎
Kitu ambacho nimeuza ni duka langu alafu Mimi nikawa dalali mwenyeweVingine umeuza au😎
Hongera sana asee😂😂Kitu ambacho nimeuza ni duka langu alafu Mimi nikawa dalali mwenyewe
Nina kanisa tayari mkuuHuu ndio Muda WA kufungua kanisa sasa
Hatari saaaana mkuu.Hongera sana asee😂😂
Sio kanisa sema nyumba ya ibadaNina kanisa tayari mkuu
Nakuomba upumzike sasaKisingekuwepo kifo... 🎼🎧
02:23
Ni nzuri, nimeipenda na inanitesa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole sana, ya nini sasa jamani 😀
Naona unamskiliza Jay kombatiKisingekuwepo kifo... 🎼🎧
02:23
🤣🤣🤣🤣😥😥😥😥Nakuomba upumzike sasa
Wewe kama huna hips na furushi sijui kwakweli mana jina lako lipo kimkakati kabisaKisingekuwepo kifo... 🎼🎧
02:23
Kwa kua kesho weekend si ndio eenh au night shift🤣🤣🤣🤣😥😥😥😥
Huwa hatulali tukianza, ni mapopp 😁😁😁😁
Yaani singeli ni nzuri sana. Unajikuta umo aina hii ya muziki itamshika kila mtu. Mimi nimeanza na kujifunza kuicheza 😅😅😅😅😅Naona unamskiliza Jay kombati
Hahahahhahaha utacheza kama kambale maji yakimwagwa?Yaani singeli ni nzuri sana. Unajikuta umo aina hii ya muziki itamshika kila mtu. Mimi nimeanza na kujifunza kuicheza 😅😅😅😅😅
Mkuu naona Maisha ya single ni bariiidi kabisa.Unasubiri tamko la mahakama Tu.Laleni vijana
Tunawalinda 😂😂😂😂😂Laleni vijana