dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,343
Hapana bora ubaki tu uta hadithiwa vingine sio lazimaSi utanipeleka?
Hapana bora ubaki tu uta hadithiwa vingine sio lazimaSi utanipeleka?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hilo halina ubishi, haihitajiki dna kighamua kuwa nyie ni wazazi halali wa hao watoto [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wala hakikutoboka sana basi tu namshangaa huyo fundi kutumia muda mwingi sijui alikuwa anamendea na msosi kwangu?[emoji23] [emoji23]
Kweli huyo fundi wa kuziba matundu sio mchezo, kwani kikombe kilikua kimetobika sanae? [emoji40]
Hahaha naona umetupia mashtaka kwa Inna, msalimie mwanafunzio mwambie aache uchochezi[emoji3]Nimeingia getini 00:00 nimkuga Inna akamswaga Ivuga maana alifungua geti kabla ya muda, sijui kampeleka wapi naona bado hajarudi hadi sasa hivi
Embu nambie jina lako ni kilugha gan& maana yake nin
Jibu lako lipo hapa post no 928
Je, jina lako unalotumia JF lina maana yoyote?
Nenda Mwanafunzi wangu ukajisomee mwenyeweWapi huko na mie nikachungulie?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] siamini maneno hayo kama hivyo ndivyo basi Nleterewa Nganengo ndo baba mzazi wa huyo kwenye avatar yako maana naye ni mchina pureHakuna kitu kama hicho watoto wote wana baba zao tofauti mmoja mwarabu mwingine mchina
Mtembezi......(kamilisha)Si utanipeleka?
Mweleze mweleze ticha, asitake kuchoche majivu hapa akidhani kuna moto [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nimeingia getini 00:00 nimkuga Inna akamswaga Ivuga maana alifungua geti kabla ya muda, sijui kampeleka wapi naona bado hajarudi hadi sasa hivi
Miwani tu inamtosha[emoji41]Nadhani atakuwa ameenda kumfundisha namna yakusoma saa vzr
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mwl.wangu Nganengo njoo unisaidie kukamilisha hii sentesi hapa!Mtembezi......(kamilisha)
Hahaha sio bure kuna kitu, kwa nilivyomfuatilia huyo fundi sio njaa kiasi hicho,Wala hakikutoboka sana basi tu namshangaa huyo fundi kutumia muda mwingi sijui alikuwa anamendea na msosi kwangu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alisahau kuwa mkulu katwmbia tubane kila kitu hivyo mi mwenzie nashindia na kulalia maji ya kisima
Haa halaf sdhan kama ntamjua tena manake wachina nao kwa mfanano[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] siamini maneno hayo kama hivyo ndivyo basi Nleterewa Nganengo ndo baba mzazi wa huyo kwenye avatar yako maana naye ni mchina pure
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahaha naona umetupia mashtaka kwa Inna, msalimie mwanafunzio mwambie aache uchochezi[emoji3]
Afadhali tuwe wawili, maana peke yangu angeweza kunichenjia njiani [emoji4] [emoji4] [emoji4]Na mimi nafuataa huko
Hahaha sawa bibieuje na kadi ya kliniki
Hayo macho yako ya kichina yawekee pilipili kichaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mbona Leo nasinzia sana aisee, nitafutie dawa basi bundi Thad
na cheti chako cha kuzaliwa maana nmeambiwa kua umchina na sikukumbukiHahaha sawa bibie
Mbona mwanisingizia jamani? Mimi sijawahi kuchochea tangu nizaliwe [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahaha naona umetupia mashtaka kwa Inna, msalimie mwanafunzio mwambie aache uchochezi[emoji3]
Sasa nitamCc. mtu tunaewasiliana kupitia S.L.P kweli, ngoja ntaanza kukuCc. wewe on behalfHivi wewe kwanini huwa hum- cc mama Manka? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ewaaah hapa umenena, nitafurahi kama ukiniletea sharubati ya nyongo ya Simba mwanamwali[emoji39]Ahaa bas baba tulia naja nkuletee kinywaji gani?