Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,422
- 2,157
ninayo na ya mamba nkuleteeEwaaah hapa umenena, nitafurahi kama ukiniletea sharubati ya nyongo ya Simba mwanamwali[emoji39]
ninayo na ya mamba nkuleteeEwaaah hapa umenena, nitafurahi kama ukiniletea sharubati ya nyongo ya Simba mwanamwali[emoji39]
Alivaa vizuri tu ndala za chuma, ovaroli la pinki na kofia ua chuma,......na gloves za nailoni [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahaha sio bure kuna kitu, kwa nilivyomfuatilia huyo fundi sio njaa kiasi hicho,
Hebu niambie ni aina gani ya mavazi uliyokua umevaa?[emoji85] [emoji40]
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] siamini maneno hayo kama hivyo ndivyo basi Nleterewa Nganengo ndo baba mzazi wa huyo kwenye avatar yako maana naye ni mchina pure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] andika maumivu tu best, huyo mwanao mwenyewe ashamchakaza kwa mbege hata hatamaniki tena, bora tu umwachieHaa halaf sdhan kama ntamjua tena manake wachina nao kwa mfanano
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayo macho yako ya kichina yawekee pilipili kichaa
Usihofu nitakuja na vielelezo vyote, huyo mchochezi ukimsikiliza atakusumbua[emoji6]na cheti chako cha kuzaliwa maana nmeambiwa kua umchina na sikukumbuki
Hapo ndipo nilipokuwa napasubiria kwa hamu, huko kwingine kote kulikuwa ni kujizungusha tu [emoji23] [emoji23] [emoji4]Ewaaah hapa umenena, nitafurahi kama ukiniletea sharubati ya nyongo ya Simba mwanamwali[emoji39]
ninayo na ya mamba nkuletee
Asante sana kamanda wanguMie nimekuja hpa kuhakikisha usalama salmini
[emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120]ninayo na ya mamba nkuletee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alivaa vizuri tu ndala za chuma, ovaroli la pinki na kofia ua chuma,......na gloves za nailoni [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mweleze mweleze ticha, asitake kuchoche majivu hapa akidhani kuna moto [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Usinisababishie matatizo mie bado mdogo, nisije nikamwagiwa tindikali bure.....wakaniharibia hii sura yangu niliyorithi kwa babu yangu mzaa baba [emoji4] [emoji4] [emoji4]Sasa nitamCc. mtu tunaewasiliana kupitia S.L.P kweli, ngoja ntaanza kukuCc. wewe on behalf
Cc. Bundi Mchochezi
Wacha weee[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120]
Hakika umejua kunipatia bibie[emoji39]
[emoji15] [emoji15][emoji15] [emoji15] [emoji15] mwl.wangu Nganengo njoo unisaidie kukamilisha hii sentesi hapa!
Mi ndo niliva vibaya kwa kweli. Nilivaa dela lenye rangi ya chama [emoji4] [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] andika maumivu tu best, huyo mwanao mwenyewe ashamchakaza kwa mbege hata hatamaniki tena, bora tu umwachie
Bila shaka nawe unaenda kulinda ndoa yako! Nisalimie wifi [emoji137] [emoji137] [emoji137]Wenye ndoa wao wakazi-cement vzr....mie ulinzi wangu unahamia undercover kwa wakat huu.....tchaooo
Komredi usivunje hii ahadi tafadhali jana geti la nnje nimelikuta wazi kabisaMsichafue kijiwe, ngoja niende kuegesha [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nitarudi kufunga geti