Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
[emoji38] [emoji38][emoji15]
[emoji38] [emoji38][emoji15]
Karibu, tafadhali pita getini kuna zawadi yako ya ukaribisho[emoji39]Popo mgeni jamani mie
Embu nambie jina lako ni kilugha gan& maana yake nin[emoji38] [emoji38]
Karibu komredi, humu wote tunacheza namba moja tu ya time kipa mpaka majogoonaomba namba humu...
nicheze namba 6 pale kati au niwe mweka hazina..
Time keeper hapana
Jukum la kukagua get pass ni lakwako mkuu kwa kila mgeni huu ni mgawanyo wa majukumKaribu, tafadhali pita getini kuna zawadi yako ya ukaribisho[emoji39]
Salama kabisa dingi, hujanione Thad pande hizo?Salama humu watu wa Mungu
Mumeamukaje marafiki zangu
Naja kukagua lindo mkuu usije telekeza vitendea kazi
Ustaarabu wa JF ,mkuuHilo neno mkuu limetawala humu kama sala vile ya kila siku
Alipita huku usiku mnene akapotea mara moja chap, sijui kajimbia wap sasahivSalama kabisa dingi, hujanione Thad pande hizo?
Habarin za mchanaAlipita huku usiku mnene akapotea mara moja chap, sijui kajimbia wap sasahiv
[emoji15] [emoji15]Jukum la kukagua get pass ni lakwako mkuu kwa kila mgeni huu ni mgawanyo wa majukum
Nilimwona alivyokua anamendea ile zawadi uliyomnunulia Inna, hujausika kumteka kweli komredi[emoji3]Alipita huku usiku mnene akapotea mara moja chap, sijui kajimbia wap sasahiv
Kwa jukwaa hili saizi ni mchana kabisaaa ...uko sahihiHabarin za mchana
Matokeo ni yale yale au (3-1)Haya wale wa mechi ya arsenal imekwisha.njooni sasa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Habarin za mchana
Ngoja tuangalie OB kama wamesain kuingia lindo mkuu[emoji15] [emoji15]
Komredi umesahau nilishahamishwa kitengo mda sana sababu ya kusinzia nasikia Inna na Dingimtoto ndo wahusika
Tumeshafika kiongoziHaya wale wa mechi ya arsenal imekwisha.njooni sasa
Kamwene, tupe matokeo komrediHaya wale wa mechi ya arsenal imekwisha.njooni sasa