Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Bila shaka hayo macho umeshayatia pilipili kichaa kama nilivyokushauri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekasirika alafu ghafla nikajikuta nacheka mpaka usingizi umekata
Bila shaka hayo macho umeshayatia pilipili kichaa kama nilivyokushauri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekasirika alafu ghafla nikajikuta nacheka mpaka usingizi umekata
[emoji23] [emoji23]Hapo ndipo nilipokuwa napasubiria kwa hamu, huko kwingine kote kulikuwa ni kujizungusha tu [emoji23] [emoji23] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usinisababishie matatizo mie bado mdogo, nisije nikamwagiwa tindikali bure.....wakaniharibia hii sura yangu niliyorithi kwa babu yangu mzaa baba [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kweli wewe hufai kuwa jogooo yaani sasa hivi ndio unakumbuka kuamsha watu? Majogoo ya wahenga wetu wangekuwa kama wewe hakika wangechelewa sana kutuzaa [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Amkeni kumekuchaaaaaaa.kokolikooooooo koooooooo[emoji350][emoji239]
Mi nimesema kweli, sijataka niwe mnafiki ktk hilo[emoji23] [emoji23]
Thad bhana
Majogoo ya wahenga kuna wakati mbalamwez,ikiwa angavu sana yalikuwa yanaliamsha dude kama mimi leo.Kweli wewe hufai kuwa jogooo yaani sasa hivi ndio unakumbuka kuamsha watu? Majogoo ya wahenga wetu wangekuwa kama wewe hakika wangechelewa sana kutuzaa [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
Ahaaah ndio maana fundi alikaa mda mfupi namna hiyo. Kuziba matundu tena ya kikombe ni kazi ngumu sana[emoji40]Mi ndo niliva vibaya kwa kweli. Nilivaa dela lenye rangi ya chama [emoji4] [emoji4]
Mwl.plz usiniache peke yangu hapa nisubiri twende wote kama tulivyokuja wote [emoji12] [emoji12] [emoji12]Msichafue kijiwe, ngoja niende kuegesha [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nitarudi kufunga geti
[emoji57] [emoji57]Bila shaka hayo macho umeshayatia pilipili kichaa kama nilivyokushauri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo na wewe leo umepotezwa na mbalamwezi?Majogoo ya wahenga kuna wakati mbalamwez,ikiwa angavu sana yalikuwa yanaliamsha dude kama mimi leo.
Utakuwa ulimtuma sio bureAhaaah ndio maana fundi alikaa mda mfupi namna hiyo. Kuziba matundu tena ya kikombe ni kazi ngumu sana[emoji40]
Koh koh koh, uzee taabu kwelikweli yani kabaridi kadogo nakohoa namna hiiMwl.plz usiniache peke yangu hapa nisubiri twende wote kama tulivyokuja wote [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nikajua tayareee muda wa kwenda kulainisha vyuma umewadia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo na wewe leo umepotezwa na mbalamwezi?
Ndo ulalege mapema usije ukatufia hapa kijiweni tukapata kesi ya mauaji bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]Koh koh koh, uzee taabu kwelikweli yani kabaridi kadogo nakohoa namna hii
Talking from experience niliwahi kuziba kikombe changu kilinisumbua sana[emoji41]Utakuwa ulimtuma sio bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo ulalege mapema usije ukatufia hapa kijiweni tukapata kesi ya mauaji bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]