Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Haha mkuu mimi nipo ktk mkesha wa ndg yangu fulani ameaga dunia asubuhi ya leo ..alikua mgonjwa wa uvimbe asee soo tupo tupo tuu

Haha mkuu mimi nipo ktk mkesha wa ndg yangu fulani ameaga dunia asubuhi ya leo ..alikua mgonjwa wa uvimbe asee soo tupo tupo tuu

Poleni sana komredi, Mungu mnayemwamini awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.Haha mkuu mimi nipo ktk mkesha wa ndg yangu fulani ameaga dunia asubuhi ya leo ..alikua mgonjwa wa uvimbe asee soo tupo tupo tuu
Polee sanaaHaha mkuu mimi nipo ktk mkesha wa ndg yangu fulani ameaga dunia asubuhi ya leo ..alikua mgonjwa wa uvimbe asee soo tupo tupo tuu
Yaani umenikata stimu zooote.Kazi ya Mola haina makosa.tuache tuendelee na usiku wetu.jaman usiku mwemaHaha mkuu mimi nipo ktk mkesha wa ndg yangu fulani ameaga dunia asubuhi ya leo ..alikua mgonjwa wa uvimbe asee soo tupo tupo tuu
Barikiwa sana ustaadh wanguDaah umeitikia kwa upako wa aina yake mkuu safi sana
Inaumaaa kweliiiYaani umenikata stimu zooote.Kazi ya Mola haina makosa.tuache tuendelee na usiku wetu.jaman usiku mwema
Hahah nitakuwa nimefananisha msalaba na jumlisha nini hahaha.. poa ustaadhiBarikiwa sana ustaadh wangu
Aiseee sikuwahi jua kabisaNdio hasa huku mombasa
Yoshua 1:5,zaburi 145:18 na Isaya 41:10.Inaumaaa kweliii
AiseeeTumia Rungu kuwaponda
Mungu ndie mpaji na mchukuaji, mwisho wa siku twaamini tu kazi zake hazina makosa nasi ni watarajiwa, hivyo kuwa na amani tu ukiendelea kujiandaa na weweYaani umenikata stimu zooote.Kazi ya Mola haina makosa.tuache tuendelee na usiku wetu.jaman usiku mwema
ItakuwaHahah nitakuwa nimefananisha msalaba na jumlisha nini hahaha.. poa ustaadhi
Karibu mombasa uoneAiseee sikuwahi jua kabisa
Asante mkuuPolee sanaa
Asante twazidi poa taratibu madam..Poleni sana wafiwa..
Aman ya neno la kifo ina tatizo la kuleta "kumbukumbu ya simanzi"bila hivyo mbona ingekuwa ukisikia msiba unapiga balimi 7 hv ili uwe sawaMungu ndie mpaji na mchukuaji, mwisho wa siku twaamini tu kazi zake hazina makosa nasi ni watarajiwa, hivyo kuwa na amani tu ukiendelea kujiandaa na wewe
Izo tende hata na maziwa una mix, unapata kitu hadimu jamii ya vumbi la kongoKaribu mombasa uone
Ndo uzuri wa kukesha tunakuwa wa kwanza kupata habari za misiba na sherehePoleni sana wafiwa..
Ni kweli kabisa memory, na kumbuka siku ya kwanza aliponiona tuu akanitaja “avatar hujambo ....”Aman ya neno la kifo ina tatizo la kuleta "kumbukumbu ya simanzi"bila hivyo mbona ingekuwa ukisikia msiba unapiga balimi 7 hv ili uwe sawa