Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
KhaaaaaSi bora ukule kwa wenyewe,kuliko uliwe mwenyewe.
KhaaaaaSi bora ukule kwa wenyewe,kuliko uliwe mwenyewe.
Teh tehe teh teheSilagi kwa watu
Hii ndo mida ya taimingi za wazazi wanaokaa mjini halafu chumba singo.wee weeeee acha tyu
enzii hzo tandale kugusaa tuuNdio maana kila wakati sina nguvu kumbe wewe ndio unaota nguvu zanguMimi sipati usingizi nakuota kila mara
Huwezi kwa watu ulowazoea!!!Na kweli, leo watu humu wamevurugwa sio mchezo, nilipanga kutumia emoj na kulike tu lakini nimeshindwa![]()
Wacha watung'ate.kutoka nje hiyo veeeepeeeNitapuliza dawa saivi... Hebu mtoke nje kwanza
Neno la sasa "tayareee"![]()
![]()
![]()
enzii hzo tandale kugusaa tuu
Nipulizie dawa bhanaaaWacha watung'ate.kutoka nje hiyo veeeepeee
Hahaha unawaaibisha walimu wako sasa, kesho ntakuletea dazen 6 za vikombe vya aina zote.Fundi wa kuziba kikombe changu cha kunywea uji kimetoboka
Naota moto wala sio nguvuNdio maana kila wakati sina nguvu kumbe wewe ndio unaota nguvu zangu
Anajifanya mjuvi wa kujikamua jipu..!!!Huwezi kwa watu ulowazoea!!!
Wacha moyo uamue
Ila uswahilin kuna vidoshooo wakaliii asikudanganye mtuNeno la sasa "tayareee"
Sitaki kutumia kikombe kingine zaidi ya hiki cha kihenga kutumia vikombe vipya ni ulimbukeni unaosemwa mh.MsukumaHahaha unawaaibisha walimu wako sasa, kesho ntakuletea dazen 6 za vikombe vya aina zote.
MmmhAnajifanya mjuvi wa kujikamua jipu..!!!
Hahaha kweli kabisaHuwezi kwa watu ulowazoea!!!
Wacha moyo uamue
Hahahaaaaaa.Hii ndo mida ya taimingi za wazazi wanaokaa mjini halafu chumba singo.wee weeeee acha tyu
Tumekunywa balimi,so damu zote full mibalimi.wacha na zenyewe zilewe.Nipulizie dawa bhanaaa
Usingekuwa mtoro ningekuwa nakukaribisha kuja kunywa chaiUmenikumbusha mbali mno na hayo maandazi yako![]()
![]()
![]()
Dawa kapulizie shambanNipulizie dawa bhanaaa