Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
HahahahHhaaaaa.Fundi wa kuziba kikombe changu cha kunywea uji kimetoboka
Mwanafunzi weweeeeee
HahahahHhaaaaa.Fundi wa kuziba kikombe changu cha kunywea uji kimetoboka
Tatizo lao vibendi.i mean hawachelewi kutotoa banaIla uswahilin kuna vidoshooo wakaliii asikudanganye mtu
AiseeSitaki kutumia kikombe kingine zaidi ya hiki cha kihenga kutumia vikombe vipya ni ulimbukeni unaosemwa mh.Msukuma
Tumia Rungu kuwapondaNitapuliza dawa saivi... Hebu mtoke nje kwanza
Ndo hilo ila ukiwataimuuu unawafaidiiiiTatizo lao vibendi.i mean hawachelewi kutotoa bana
Asante!Nawatakia amani ya bwana katika usiku huu MNENE
Hahaha unawaaibisha walimu wako sasa, kesho ntakuletea dazen 6 za vikombe vya aina zote.

Hizo ("Mmmmh")emu emu nyingi ina maana unasinzia!!!Mmmh
Hilo jipu veepe
Likiiva niambie nina kazi naloMmmh
Hilo jipu veepe
EimeeeeenNawatakia amani ya bwana katika usiku huu MNENE
Na wewe piaNawatakia amani ya bwana katika usiku huu MNENE
Unawatafuna kama kuku kienyeji wanavyokufa kwa kideli bushNdo hilo ila ukiwataimuuu unawafaidiiii
Leo naona mwanafunzi wako itakua amefanikiwa kushusha chini mikono ya yule jamaa wa kwenye chupa sio bure

Unaendelea mpaka tarehe 25/12/2018Asante!
Nawe pia mpendwa. Hivi mkesha wakrismas si unaendelea?
Pole na kichekoAhhaaha
Haha mkuu mimi nipo ktk mkesha wa ndg yangu fulani ameaga dunia asubuhi ya leo ..alikua mgonjwa wa uvimbe asee soo tupo tupo tuuAsante!
Nawe pia mpendwa. Hivi mkesha wakrismas si unaendelea?
Cc Thad MwanafuziLeo naona mwanafunzi wako itakua amefanikiwa kushusha chini mikono ya yule jamaa wa kwenye chupa sio bure![]()
Daah umeitikia kwa upako wa aina yake mkuu safi sanaEimeeeeen