Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,488
We cheka tu mwayaHahaha imebidi nicheke tu.
We cheka tu mwayaHahaha imebidi nicheke tu.
Mimi nitamuona PiliMuone kwanza
KufanyajeUjue nilikatazwa na mama
We umeniangalia kwa wasiwasiMbona huna Rungu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndio maana una vitamini zote kumbe waota jua? Na mimi nitaanza kuota jua la saa 7 mchananipate vitamini z
Ukianza siku ndogo uniambieNaona tunamalizia siku kuu....
Sawa JiraniMimi nitamuona Pili
[emoji23] [emoji23]We cheka tu mwaya
Ndio hasa huku mombasaHivi huwa zinaliwa na gahawa ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitapuliza dawa saivi... Hebu mtoke nje kwanzaWanakwepa sana,muda wote napiga hewa.ifanye kazi yako mwenyewe
Fundi wa nini?Hapana bwana!
Walimu wangu wote nawapenda sana.
Halafu nimekumbuka....natafuta fundi
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Hapana bwana!
Walimu wangu wote nawapenda sana.
Halafu nimekumbuka....natafuta fundi
Kukula kwa wenyeweKufanyaje
Hayo machozi veeepe[emoji23] [emoji23]
Nilikiwa na mandazi madogo madogo magumu matamu sanaUna kashata za kutosha lakini ?
Si bora ukule kwa wenyewe,kuliko uliwe mwenyewe.Kukula kwa wenyewe
Fundi wa kuziba kikombe changu cha kunywea uji kimetobokaFundi wa nini?
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Afadhali, ila huyo fundi wa nini tena, mbona unapenda kutia watu presha namna hiyo.
Na kweli, leo watu humu wamevurugwa sio mchezo, nilipanga kutumia emoj na kulike tu lakini nimeshindwa[emoji3]We cheka tu mwaya
Umenikumbusha mbali mno na hayo maandazi yako [emoji39] [emoji39] [emoji39]Nilikiwa na mandazi madogo madogo magumu matamu sana
Hii ndo mida ya taimingi za wazazi wanaokaa mjini halafu chumba singo.wee weeeee acha tyuUmeonaaa watoto woteee washalala