Mr Makunduchi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 995
- 492
Inna ujalala mie Niko yenu bar apa ubungo napata kongoro hali mbaya chichaUnatuangushaa bhana
Inna ujalala mie Niko yenu bar apa ubungo napata kongoro hali mbaya chichaUnatuangushaa bhana
Kata maji tu mpaka kieleweke akuna kulalaNipoo hapaaa hadi jogoo wa kwanza awikee kuudaadeekiii.
Kasie Matata.
Naam Kada mtiifuHelloh!
Bei gani hiyo kongoroInna ujalala mie Niko yenu bar apa ubungo napata kongoro hali mbaya chicha
Habari mdauNabarisha sana wandugu
Ewaaah, leo naona mabox ya zawadi yamekuzidi umeamua uyafungue mpaka kokorikoo.
Kata maji tu mpaka kieleweke akuna kulala
Lengo la uzi huu naona linakwenda ndivyo sivyo! Usiku wa manane, basi!Watoto muda wa kuoga huu sisi tyuanze mambo ye2 yaki kubwa
Lengo la uzi huu naona linakwenda ndivyo sivyo! Usiku wa manane, basi!

Subili kuanzia saa 6 usiku ndio upost humuWatoto muda wa kuoga huu sisi tyuanze mambo ye2 yaki kubwa
Leo upo eeeGeti lipo wazi now mnakaribishwa! leo naanza kutoa kadi wageni waalikwa mkesha mwaka mpya...