Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
SawaUtaanza 1st January 2018
SawaUtaanza 1st January 2018
Please lala maana unanikwaza!
Hahaha hapana nimeandika, bado sijaanza kuongea.Umeongea sasa
Wewe sio mtu...!!!!Silagi kwa watu
Koh koh kohHuhuh! Ngoja na mimi nilale ili nisikilizie vzr utamu wa kuotwa
HahahaMbu wanatung'ata,ina maana umesahau kazi uliyojipa!?
Shaka ondoaa na ntakufunika na barid la lindoKaribu lindo bhana
Tena hakuna karahaaa![]()
![]()
Usku rahaa sanaa
Hahaha imebidi nicheke tu.Asante babue
Mbona huna RunguNiko lindo Jirani
Ndio maana una vitamini zote kumbe waota jua? Na mimi nitaanza kuota jua la saa 7 mchananipate vitamini zUzuri Mwl wako huwa naota moto wala usipate shidaa
HahahaHuko kukulwa na mbu veepee![]()
![]()
Muache kunguni zinamsubiri![]()
![]()
![]()
Ujue nilikatazwa na mamaWewe sio mtu...!!!!
Mimi sipati usingizi nakuota kila maraHuhuh! Ngoja na mimi nilale ili nisikilizie vzr utamu wa kuotwa
Kama kawaida make kibarua pale tazara nikichelewaa tu sipati kituHahaha kwakweli.
Japo kesho asubuhi ni kukimbizana tu.
Wanakwepa sana,muda wote napiga hewa.ifanye kazi yako mwenyeweHahaha
Hebu nsaidie kumuua huyo mmoja jamani
Umeonaaa watoto woteee washalalaTena hakuna karahaaa