Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Sasa wangekujaje huku wakati wako busy kunifundisha?Alafu ulivopotea na wao waliopotea...natafakari tu kwa sauti...Hb wa kigogo umeona huu mchezo???
Tafadhali usinichonganishe na HB wa kigogo.
Sasa wangekujaje huku wakati wako busy kunifundisha?Alafu ulivopotea na wao waliopotea...natafakari tu kwa sauti...Hb wa kigogo umeona huu mchezo???
Ngoja Ivuga aje tusaidianeUtawaweza wote humu ndani ni wangu utawafanyaje?[emoji2] [emoji2]
Sasa hivi ni muda wa popo bundi muda wao badoHivi sasa ni saa 00:55am......
[emoji102] [emoji102] [emoji40]Ohooo! Umenionaje tena wewe? [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Maaba mwl!Shamoo mwanafunzi
Ndo nani huyo???Ngoja Ivuga aje tusaidiane
[emoji106] [emoji125]We leo ni viemoji tu
Naona kazidiwa na mbege [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji102] [emoji102] [emoji40]
We leo ni viemoji tu
Mbege ya juzi naona bdo iko kichwan inabid uongee kwa emoji tu[emoji106] [emoji125]
Nmehis hvyo hvyoNaona kazidiwa na mbege [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli siasa mbaya,leo hii humjui kabisa Ivunga?Ndo nani huyo???
Kiboko yakoNdo nani huyo???
Ndo kitu gan hcho?Kweli siasa mbaya,leo hii humjui kabisa Ivunga?
[emoji39] [emoji39] [emoji57] [emoji57]Naona kazidiwa na mbege [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wee bwana kalale tu maana unanishawishi kukufungulia mashtaka ya kuvunja sheria za jamhuri ya usiku wa manane[emoji106] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Mbege ya juzi naona bdo iko kichwan inabid uongee kwa emoji tu
[emoji3] [emoji3] [emoji40] [emoji125]Kweli siasa mbaya,leo hii humjui kabisa Ivunga?
Huyo ulompata kweli kakuzuzua...."Usiache mbachao kwa msala upitao" nakukumbusha tuNdo kitu gan hcho?
Hapo sawa ila muda wao unakaribia,mida ya wanga ndo bado sanaSasa hivi ni muda wa popo bundi muda wao bado