Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
[emoji86] [emoji86]Wee bwana kalale tu maana unanishawishi kukufungulia mashtaka ya kuvunja sheria za jamhuri ya usiku wa manane
[emoji86] [emoji86]Wee bwana kalale tu maana unanishawishi kukufungulia mashtaka ya kuvunja sheria za jamhuri ya usiku wa manane
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Sasa hivi ni muda wa popo bundi muda wao bado
Mahaba niueeMaaba mwl!
Mkuu usiku badoWadau usiku mwema. Nawatakia siku njema
Na ww pia mpendwaaWadau usiku mwema. Nawatakia siku njema
AsanteNa ww pia mpendwaa
KaribuuHuku veeeepe
Veeepe ya huku no kulalaHuku veeeepe
Komredi vipi mbona Leo mapema sana.Wadau usiku mwema. Nawatakia siku njema
Asante,nawe pia best yangu!Wadau usiku mwema. Nawatakia siku njema
Nilikula vitu sasa naona kichwa kinauma ngoja ni pumzikeKomredi vipi mbona Leo mapema sana.
Utaanza lini?Mkuu usiku bado
Yasikuue, maana nitakosa mwl wakunifundisha kusoma nambaMahaba niuee
Jirani hulali?Huku veeeepe
Mkuu basi wewe ni jiwe.maana ndoto ya Kuota jiwe ipo mbaleee sanaAsante,nawe pia best yangu!
Plz naomba uniote maana sijawahi kuotwa tangu jan.2017 [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Karibuu
Hatimae bubu asema [emoji40] [emoji40] [emoji40]Komredi vipi mbona Leo mapema sana.
Nimeshakaa my dearKaribuu