JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Pole rafiki anguu...sikunyingine sutasema ingawa ni kweli...ili nisikuzibie riziki[emoji2]
Jamani sio kweli hata kidogo,nimeadimika kwa sababu siku hizi mwl wangu Nleterewa Nganengo ananifundisha mpaka muda wa ziada ili amalizie mada za mwaka huu.
Halafu mwl wangu Mwifwa naye ananipa home work nyingi mno [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Au kuna ukweli ndani yake maana umeadimika ile mbaya
 
Jamani sio kweli hata kidogo,nimeadimika kwa sababu siku hizi mwl wangu Nleterewa Nganengo ananifundisha mpaka muda wa ziada ili amalizie mada za mwaka huu.
Halafu mwl wangu Mwifwa naye ananipa home work nyingi mno [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Duuuh hao walimu wako hadi mda wa ziadaa.????..kuna question mark hapo,
 
Back
Top Bottom