Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Yupo piga hodiMlinzi yupo getini? Nataka niingie
Yupo piga hodiMlinzi yupo getini? Nataka niingie
Nyasi sio shida sana ila magugu ndo shida.magugu n mdogo wa mkeo ama mdogowe hapo tatizo.ila kama ni nyasi we zifyeke na kwanja tyuUnataka ndoa ya jamaa iote nyasi. Avumilie tu
Kumefungwaa
kweli usiku wa manane...hata ushauri ni wa usiku wa manane..asbuh huwezi pata busara hizi .Mwanao akijua vizuri sana.maana atakuwa ametambua ana mzazi wa aina gani...nakusii piga tyu.
Acha uvivu broUsiku mwema wakuu
Hakuna kuingia wa ndani ndani wa nje njeMlinzi yupo getini? Nataka niingie

Mmmh si bora usingekuja hapaUsiku mwema wakuu
Pole rafiki anguu...sikunyingine sutasema ingawa ni kweli...ili nisikuzibie rizikiKusema kweli Inna umesababisha nikose zawadi ya krismas kwa kauli yako![]()
![]()
![]()

Au kuna ukweli ndani yake maana umeadimika ile mbayaIshia hapo hapo, kwanini unanitangazia kwa watu eti siku hizi siji humu kwa kuwa niko busy kuhudumia ndoa? Unataka kunipotezea bahati?
Swafi sana mtumishi kwa kutambua hilikweli usiku wa manane...hata ushauri ni wa usiku wa manane..asbuh huwezi pata busara hizi .
Hahaaaa atuache wakali wa hizi kaziMmmh si bora usingekuja hapa
Hahahahaaaa, kwann mke wanguMmmh si bora usingekuja hapa
Kabisaa naona anaiga fan asiyoiwezaHahaaaa atuache wakali wa hizi kazi
fungua sahizi ni usuku wa manane watoto washalala.Kumefungwaa
Kalale umekuja kufanyaje hukuHahahahaaaa, kwann mke wangu
Nyasi sio shida sana ila magugu ndo shida.magugu n mdogo wa mkeo ama mdogowe hapo tatizo.ila kama ni nyasi we zifyeke na kwanja tyu

Nahisi kuna mtu anakula nyama yangu ngoja niwahiAcha uvivu bro
Umeonaa ee..muulize alikua wap?Au kuna ukweli ndani yake maana umeadimika ile mbaya