JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ndio maana nakupendaga mwl.wangu wa hisabati, sio kama yule mwl.wangu wa mwandiko ananifosi fosi kuanza mhula mpya wa masomo leo siku ya boksing dei [emoji18] [emoji18]

Kusema kweli nutachoka kukaa likizo mwezi Novemba [emoji4] [emoji4]
Ahaaaaa.

Kumbe ni boxing day, njoo basi huku [emoji403] [emoji403] [emoji403] [emoji403] uje uchukue box lako
 
Kweli Mwifwa wewe ni wakula vinono peke yako pasi kutualika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanafunzi kale sikukuu huko mimi nakula wali na ubwabwa na kachumbari tu
 
Basi naacha masomo yote ili tuanze na hili ili mwl.wangu Nleterewa Nganengo akija asilione tena jina langu(ID) [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom