msaada tafadhali [HASHTAG]#Inna[/HASHTAG]:Haha polee
Thad ameingia mjengoni inabidi ujibu tuhuma zinazo kukabiliAisee namshukuru Mungu ilikua poa sana
Nashukuru Mungu bado nahemaMi mzima. Vip wewe?
Mm tena nakusingiziaMbona wanisingizia best....
Wakati vya krismas umevila peke yako?
Acha uvivuNasepa kwanza![]()
![]()
![]()
![]()
Wataka msaada gani mkuumsaada tafadhali [HASHTAG]#Inna[/HASHTAG]:
mkuu...siku kikisanuka nahisi mpka mtoto wang wa miaka nane atajuaPiga tyu.kavalie miwani ya mbao.
Umepotea tenaUkirudiii masai akakurudisha getin utamsamehee
Unataka ndoa ya jamaa iote nyasi. Avumilie tuPiga tyu.kavalie miwani ya mbao.
Ishia hapo hapo, kwanini unanitangazia kwa watu eti siku hizi siji humu kwa kuwa niko busy kuhudumia ndoa? Unataka kunipotezea bahati?Mm tena nakusingizia![]()
![]()
Sikukuu we mwenyew huonekan sikuhz nani kakuficha
VyemaNashukuru Mungu bado nahema
Aje ajibu kweliThad ameingia mjengoni inabidi ujibu tuhuma zinazo kukabili

Ishia hapo hapo, kwanini unsnitangazia kwa watu eti siku hizi siji humu kwa kuwa niko busy kuhudumia ndoa? Unataka kunipotezea bahati?

pmWataka msaada gani mkuu
Mwanao akijua vizuri sana.maana atakuwa ametambua ana mzazi wa aina gani...nakusii piga tyu.mkuu...siku kikisanuka nahisi mpka mtoto wang wa miaka nane atajua
Mlinzi yupo getini? Nataka niingieMm tena nakusingizia![]()
![]()
Sikukuu we mwenyew huonekan sikuhz nani kakuficha
Kusema kweli Inna umesababisha nikose zawadi ya krismas kwa kauli yako
