Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Aaaaaggghhrrr.
Ona sasa unavyohamisha magoli
utakuwa una usingizi sio bure,mbona goli liko hapo hapo pa siku zote?

Aaaaaggghhrrr.
Ona sasa unavyohamisha magoli
utakuwa una usingizi sio bure,mbona goli liko hapo hapo pa siku zote?

Nawe pia mwl.wangu kipenzi!Usiku mwema wote popozzz
Sawa mwl.nitasoma na nahau za kirumi kabisaSawa ila usisahau kusoma zile methali
Umeruhusu nfunge mlango sioUsiku mwema wote popozzz
Nimekosa nn tena mpendwaa..nko hapa kutubuUkimuona Inna mwambie anakesi na mimi. Tena mimi ndio mshitaki wake na ni hakimu wa kesi hiyo. dingi mtoto pia anakesi japo yake haina uzito sana.
Mambo yanasonga best,vyuma vyangu nimeshavipaka grisi, vimelainika sasa
Karibu kiongozi, hakika hutoujutia usingizi wako, ngoja nikuitie Inna akuonyeshe mandhari ya usiku mnene yalivyo na mvuto

Duuh upo macho umetishaa..ndo man hupati afya unalala mda gani?
DuuuuuhUsiniambie kuwa ulikuwa hujui hilo!
Basi kwa taarifa yako ni kwamba Inna naye kaachwa na Ivunga kisa mambo haya haya ya siasa za hapa na pale humu.
Tuanze na wewe kwanza, yaan hata kuja kutusabahi umeona nongwaUmekula pilau mwenyew ata hujanialika ww
Umeanza lini uchocheziMbona waguna ina maana hujui kuwa hata Manga ML na No Escape hawatakiani hali kisa hizi hizi siasa za hapa?
Hahahah!! nalala masaa2 yanatoshaDuuh upo macho umetishaa..ndo man hupati afya unalala mda gani?
Nilivimbiwa na pilau nkaona ngoja nipumzike ntakuja mida kam hii kuwasabahTuanze na wewe kwanza, yaan hata kuja kutusabahi umeona nongwa
Nilikualika ila mida yako sasa ndio shida
Naunga mkono hoja (pilauNilivimbiwa na pilau nkaona ngoja nipumzike ntakuja mida kam hii kuwasabah
Alafu sijui anazitoa wap? Analeta uchochezi tutampima mkojoIvunga ,![]()
Thad naye mwing wa habari