dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,343
Hongera nahis mwakat utanawil zaid ya mwakahuuNilivimbiwa na pilau nkaona ngoja nipumzike ntakuja mida kam hii kuwasabah
Hongera nahis mwakat utanawil zaid ya mwakahuuNilivimbiwa na pilau nkaona ngoja nipumzike ntakuja mida kam hii kuwasabah
Vp na ww ulivimbiwa?Naunga mkono hoja (pilau
Hehehe[emoji13] [emoji13]Alafu sijui anazitoa wap? Analeta uchochezi tutampima mkojo
Ndio analeta uchocheziHehehe[emoji13] [emoji13]
Maana analeta uchochezi
Aah wap itakua kawaida tuHongera nahis mwakat utanawil zaid ya mwakahuu
Haya bana atakuja kujibu hoja zakoNdio analeta uchochezi
Me nakutabilia kuwa kibonge siku za usoniAah wap itakua kawaida tu
Sitakiiii aiseee...naukataaMe nakutabilia kuwa kibonge siku za usoni
Kwanin, mbona me napend uwe hivyoSitakiiii aiseee...naukataa
Weee komaaa..stakii kua mzitoKwanin, mbona me napend uwe hivyo
Yashakua Hayo tena,[emoji19] nimekoma sasa kama nilivokoma kunyonya ziwa la mamaWeee komaaa..stakii kua mzito
Haha sijasema hvyo mm nmesema tu koma kusema hvyooYashakua Hayo tena,[emoji19] nikoma sasa kama nilivokoma kunyonya ziwa la mama
Sawa,karibu kiporo hapa cha pilauHaha sijasema hvyo mm nmesema tu koma kusema hvyoo
Teeeeh sahv?? Au ndo unakunywa chai uende kwenye biasharaSawa,karibu kiporo hapa cha pilau
Hapana leo nipo off, napenda kiporo sana kina radha yake hasa ya pilau nilisahauTeeeeh sahv?? Au ndo unakunywa chai uende kwenye biashara
Vyuma kwako vimelainika mr.Niko kwetu pazuri napombeka
Hahaa nakila hatariii ila mpk mida ya saa 3hiviiiiHapana leo nipo off, napenda kiporo sana kina radha yake hasa ya pilau nilisahau
Wewe ukila tumbo litakuuma tuachie sis
[emoji1] [emoji1] hahaha !! Wewe mwenyewe au saa 3 ndio mida yako hiyo nashangaa leo kulikoni mida hiiHahaa nakila hatariii ila mpk mida ya saa 3hiviiii
Mimi mwenyew sio mwingine[emoji1] [emoji1] hahaha !! Wewe mwenyewe au saa 3 ndio mida yako hiyo nashangaa leo kulikoni mida hii