JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mwl.wewe si ulinikataza kujibu swali kwa kuuliza swali?
Hapa mwanafunzi ni jino kwa jino, panga kwa panga. Wala sio panga kwa kiwembe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hapa mwanafunzi ni jino kwa jino, panga kwa panga. Wala sio panga kwa kiwembe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ukiwa ngangari lazima niwe ngunguri [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ewaaa hiyo ndo raha ya kuwa mwanafunzi pekee darasani,lazima mwl akusikilize kwa kila kitu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo mwanafunzi huwa hataki kukusanya kazi aliyopewa afanye
 
Back
Top Bottom