Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Tena haswaaaaa ...ebhuuu tuwe begaa kwa miguuuAhaaa! Upepo wa huku unaonekana ni mwanana!!

Sio kwamba sikukuu imesha anza![]()
![]()
![]()
alafu sio xmas
Hawa jamaaa unawapendaa sana
Karibu kiongozi, hakika hutoujutia usingizi wako, ngoja nikuitie Inna akuonyeshe mandhari ya usiku mnene yalivyo na mvutoKama mimi make sijawahi kuunga ndo kwanza nasoma upepooo
Christmas...nimeona hapo juu comredi akirekebishaNi nini sasa ?
Kwani humjui yesu wewe ?Ni nini sasa ?
Huu ni mkesha wa Popo na Bundi tu.Huu ndio mkesha wa xmas eti jamani
Nimekupataaa mkuuCHRISTMAS ni MUUNGANO wa maneno mawili yaani *CHRIST + MAS.*
Hapo zamani, siku ya Tarehe 25 December, ilikua siku ya Kusherehekea MATAMBIKO YA KIPAGANI kabla MWANA WA MUNGU, YESU KRISTO hajazaliwa.
Baadae mwaka 533 AD, Mtakatifu Constantine, aliyekua Mkuu wa Kanisa la WARUMI, ambalo siku hizi linajulikana kama Kanisa la Katoliki (Kanisa la kwanza), aliibadili siku hiyo isiwe tena ya MATAMBIKO YA KIPAGANI badala yake siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa MKOMBOZI MWANA WA MUNGU YESU KRISTO na kuiita *Siku ya kusanyiko la KRISTO* yaani *CHRISTMAS.*
1. *CHRIST* ni neno la kiingereza ambalo tafsiri yake ni KRISTO yaani MASIA au MPAKWA MAFUTA au ALIYETENGWA KWA KAZI MAALUMU.
2. *MAS* ni neno la KIYUNANI ambalo maana yake ni *KUSANYIKO.*
Kwa hiyo maana ya neno CHRISTMAS ni *KUSANYIKO la KRISTO.*
Kwa *WAKRISTO* wanaoamini siku hiyo, wawe makini sana na neno *X-MASS!.*
Inaaminika kuwa, baada ya siku hiyo ya kukumbuka kuzaliwa kwa YESU KRISTO, kupata umaarufu, neno X-MASS, lilikuja baadae sana na lililetwa na wapinga KRISTO ambao waliamua kufuta neno *CHRIST* kwa kuweka alama ya *“X”* yaani hakuna KRISTO.
Hiyo ilibadili maana kwa kusomeka *X-MASS.*
X-HAKUNA na MASS-KUSANYIKO, hivyo X-MASS, maana yake ni HAKUNA KUSANYIKO LA KRISTO! Yaani HAKUNA CHRISTMAS!
Sasa, Kama wewe ni Mkristo hutakiwi kutumia neno X-MAS, badala yake tumia neno CHRISTMAS
MUNGU awabariki muwe na maandalizi mema ya *CHRISTMAS* na sio *“X-MASS!”*
Muda si mrefu nimetoka kuangalia hwarangHawa jamaaa unawapendaa sana
Ewaaaaa nilimuonaaa kama vile sijuii yuko na wenyejiii??Karibu kiongozi, hakika hutoujutia usingizi wako, ngoja nikuitie Inna akuonyeshe mandhari ya usiku mnene yalivyo na mvuto
Mbwe mbwe tu, mbona wengine wanaandika y= Why?Christmas...nimeona hapo juu comredi akirekebisha
CHRISTMAS ni MUUNGANO wa maneno mawili yaani *CHRIST + MAS.*
Hapo zamani, siku ya Tarehe 25 December, ilikua siku ya Kusherehekea MATAMBIKO YA KIPAGANI kabla MWANA WA MUNGU, YESU KRISTO hajazaliwa.
Baadae mwaka 533 AD, Mtakatifu Constantine, aliyekua Mkuu wa Kanisa la WARUMI, ambalo siku hizi linajulikana kama Kanisa la Katoliki (Kanisa la kwanza), aliibadili siku hiyo isiwe tena ya MATAMBIKO YA KIPAGANI badala yake siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa MKOMBOZI MWANA WA MUNGU YESU KRISTO na kuiita *Siku ya kusanyiko la KRISTO* yaani *CHRISTMAS.*
1. *CHRIST* ni neno la kiingereza ambalo tafsiri yake ni KRISTO yaani MASIA au MPAKWA MAFUTA au ALIYETENGWA KWA KAZI MAALUMU.
2. *MAS* ni neno la KIYUNANI ambalo maana yake ni *KUSANYIKO.*
Kwa hiyo maana ya neno CHRISTMAS ni *KUSANYIKO la KRISTO.*
Kwa *WAKRISTO* wanaoamini siku hiyo, wawe makini sana na neno *X-MASS!.*
Inaaminika kuwa, baada ya siku hiyo ya kukumbuka kuzaliwa kwa YESU KRISTO, kupata umaarufu, neno X-MASS, lilikuja baadae sana na lililetwa na wapinga KRISTO ambao waliamua kufuta neno *CHRIST* kwa kuweka alama ya *“X”* yaani hakuna KRISTO.
Hiyo ilibadili maana kwa kusomeka *X-MASS.*
X-HAKUNA na MASS-KUSANYIKO, hivyo X-MASS, maana yake ni HAKUNA KUSANYIKO LA KRISTO! Yaani HAKUNA CHRISTMAS!
Sasa, Kama wewe ni Mkristo hutakiwi kutumia neno X-MAS, badala yake tumia neno CHRISTMAS
MUNGU awabariki muwe na maandalizi mema ya *CHRISTMAS* na sio *“X-MASS!”*

Mimi hawa jamaa walinitekana kipindi fulan kuanzia kwa jumong ,emperor of wind ,queen sijuiii wahtt make kitambo sanaMuda si mrefu nimetoka kuangalia hwarang
Sawa , sasa imaana tunadanganywa na viungozi wetu wa dini si ndio ?CHRISTMAS ni MUUNGANO wa maneno mawili yaani *CHRIST + MAS.*
Hapo zamani, siku ya Tarehe 25 December, ilikua siku ya Kusherehekea MATAMBIKO YA KIPAGANI kabla MWANA WA MUNGU, YESU KRISTO hajazaliwa.
Baadae mwaka 533 AD, Mtakatifu Constantine, aliyekua Mkuu wa Kanisa la WARUMI, ambalo siku hizi linajulikana kama Kanisa la Katoliki (Kanisa la kwanza), aliibadili siku hiyo isiwe tena ya MATAMBIKO YA KIPAGANI badala yake siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa MKOMBOZI MWANA WA MUNGU YESU KRISTO na kuiita *Siku ya kusanyiko la KRISTO* yaani *CHRISTMAS.*
1. *CHRIST* ni neno la kiingereza ambalo tafsiri yake ni KRISTO yaani MASIA au MPAKWA MAFUTA au ALIYETENGWA KWA KAZI MAALUMU.
2. *MAS* ni neno la KIYUNANI ambalo maana yake ni *KUSANYIKO.*
Kwa hiyo maana ya neno CHRISTMAS ni *KUSANYIKO la KRISTO.*
Kwa *WAKRISTO* wanaoamini siku hiyo, wawe makini sana na neno *X-MASS!.*
Inaaminika kuwa, baada ya siku hiyo ya kukumbuka kuzaliwa kwa YESU KRISTO, kupata umaarufu, neno X-MASS, lilikuja baadae sana na lililetwa na wapinga KRISTO ambao waliamua kufuta neno *CHRIST* kwa kuweka alama ya *“X”* yaani hakuna KRISTO.
Hiyo ilibadili maana kwa kusomeka *X-MASS.*
X-HAKUNA na MASS-KUSANYIKO, hivyo X-MASS, maana yake ni HAKUNA KUSANYIKO LA KRISTO! Yaani HAKUNA CHRISTMAS!
Sasa, Kama wewe ni Mkristo hutakiwi kutumia neno X-MAS, badala yake tumia neno CHRISTMAS
MUNGU awabariki muwe na maandalizi mema ya *CHRISTMAS* na sio *“X-MASS!”*
Sina nenoMbwe mbwe tu, mbona wengine wanaandika y= Why?
Usalama upo komredi, karibu sana
Bawa wangekuwepo mi ningesepaHuu ni mkesha wa Popo na Bundi tu.
Basi sasa ninaacha kutumia bakora, ukikutana naye mpe hizo salamu mwambie arejee Darasani