Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ndio maana mimi huwa natoa sadaka za sh.10 tu naepusha kuibiwa mchana kweupeKawaidaa hiyo ...ndo maana tunasisitiza usiangalie matendo yangu fata maneno yangu
Ndio maana mimi huwa natoa sadaka za sh.10 tu naepusha kuibiwa mchana kweupeKawaidaa hiyo ...ndo maana tunasisitiza usiangalie matendo yangu fata maneno yangu
Zambiii hizoooNdio maana mimi huwa natoa sadaka za sh.10 tu naepusha kuibiwa mchana kweupe
Kila mgeni anayekuja hapa unanikabidhisha....inamaana nimekuwa JAMVI LA WAGENI?![]()
![]()

Nafurahi kuona unaanza kuwakubali hawa wahenga wetu weusi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimeamini ule msemo wako wa "Bora kelele za adui kuliko ukimya wa rafiki" hakika leo siku ingeanza bila cheko![]()
Sapraizi ni sapraiz isipotangazwa ikitangazwa kama hivi si supraiz tena.
(mhenga ktk ubora wangu)![]()
![]()

Yuko mtaa gani nikakusaidie kuvunja aisee maana baadae sina kinywaji kabisa.Kuna mzee aliingiza kreti la balimi kwake, sasa nataka nikavunje hata dirisha nione kama nitaambulia balimi mbili tatu!!
Asante mkuuuUsiku mwema wadau. Niwatakie siku njema na sikukuu njema
Wapi hapoAbeee! Karibu mkesha wa krismas
Kuna mzee aliingiza kreti la balimi kwake, sasa nataka nikavunje hata dirisha nione kama nitaambulia balimi mbili tatu!!

Asiyefanya kazi na asile njoo twende tukavunje woteChukua ata 5 mbili nipitishiee kwa nyuma
Poa kiongozi. Ngoja nilale kidogo kesho ni wahi misaAsante mkuuu
Mm leo nafunga geti
Vunja leo weww mm kesho kutwaAsiyefanya kazi na asile njoo twende tukavunje wote
Kwahiyo ndo umegoma kunialika? Kweli wewe ni wa kunifanyia hivyo?Usiku mwema wadau. Niwatakie siku njema na sikukuu njema
Ndio maana mimi huwa natoa sadaka za sh.10 tu naepusha kuibiwa mchana kweupe

Jambo jema sanaaaPoa kiongozi. Ngoja nilale kidogo kesho ni wahi misa
Niko hapa kwenye boda ya kuingia Namibia karibu na LibyaWapi hapo
Rudi bhana, uliza kwanza huo msaada wenye mashiko ni upi, utajikuta unakata simu za BIKO bure ukizani ni kastama kea wanakwambia uchague ringtoniOhooo!![]()
![]()

Basi kila mmoja atakunywa atakachopata baada ya kuvunjaVunja leo weww mm kesho kutwa