fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,758
🤣🤣polisi akawa anashangaa uyu jamaa ni gani tenaHiyo not afraid ni kisanga😀🤣, Nisha wahi I rhyme mbele ya polisi 😀🤣
🤣🤣polisi akawa anashangaa uyu jamaa ni gani tenaHiyo not afraid ni kisanga😀🤣, Nisha wahi I rhyme mbele ya polisi 😀🤣
Ko una sema uko below 32 ??Kwanini?
Nili kuwa vibe tu, na Wala siku waogopa😀🤣🤣🤣polisi akawa anashangaa uyu jamaa ni gani tena
😂😂Nili kuwa vibe tu, na Wala siku waogopa😀🤣
Acha nongwaKo una sema uko below 32 ??
Nauliza tu😀🤣🤣, I mean no malice to nobodyAcha nongwa
Kama ni kweli, basi we bado mbichi; inabidi ufyatue wawili wa haraka harakaUwiii...hata 35 sijafikisha.
Na sio leo wala kesho...
Hulali😃02:37
Niko ndotoni mwako😀Hulali😃